Wapenzi wa muziki wa dansi na sebene tumezikosea nini tv/radio stations?

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,957
3,300
Naomba mtaalam wa mambo ya biashara ya muziki anidadavulie nini kimeua muziki wa dansi.

Mbona wapenzi wake bado tuko wengi kuliko miziki mingine? TV stations na radio ni kama zimeamua kuususia, unapigwa kwa bahati mbaya.

Heko Capital radio kwa kutujali walau. Visingizio ni mara bendi ngumu kuendesha, mara ni mirefu. Yaani dansi inazidiwa na singeli(muziki wa wanaume wa Dar es Salaam)?

Nilidhan Dizzim na Wasafi TV watatufikiria lakini naona hola! Bado naamin bongo flavour na singeli bado sana kuwa mbadala wa sebene na rhumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom