Wapenzi wa movies, usikose hapa.....!!!

Salam wakuu,
Kwa sale movie addicts wenzangu ukiachana na zile sites zetu pendwa kama vile fzmoviez, hdmp4mania etc. Nimeipata hii hapa katika kuperuziperuzi kwangu. Naona hawako vibaya na mostly movies zao ziko converted into .mkv format na zinakua around 180MBs-200MBs na quality iko POA. Wanajitahidi pia kua na quality nzuri.
SeriezLoaded NG - Nigeria's No. 1 Entertainment Website.
nimejaribu hiyo web movie mb ndogo sana inafaa kwa bajeti....najaribu kudowload inaniambia nifanye installation sijui ads on nimeshidwa kukubali kubali nisije nikaingiza virus PC in mambo mengi muhimu hebu nipe abc kwanza kuhusu weweunatumia pc au simu
 
Series flani ya wadutch ya kiboya ila ukianza kuitazama unataka kujua nini kinaendelea, haina actionza maana. Ila ni kwamba Macomando wa Netherland nane walikuwa stationed Mali, wakaja kupewa mission ya Black Ops ya kumuokoa jamaa Mnaijeria flani alikuwa ametekwa na Boko haram Nigeria, Mission ilibidi wasijulikane ni wanajeshi wa nchi gani, na wasiache ushahidi wa aina yoyote, na wakishamuokoa watakuja kukutana na maofficer wa Marekani wamkabidhi kwao.
Sasa wameenda kumuokoa wakiwa eneo la tukio washaset perimeter, wanashangaa mtu waliyedhani ni hostage ni kama boss vile amezungukwa na boko haram anabaka wanawake, sema wakamuokoa kama walivyoagizwa ila ikabidi pia waondoke na wanawake wale na wale wanawake wakawatambua kuwa ni wadutch sasa issue ikaja wawaue maana hawatakiwi kuacha evidence.

Ni series ambayo inaanza tayari ni miaka mitatu toka wapige tukio, mambo hayakwenda sawa wamedata wako kwao netherland, halafu wanakuwa wanakupa flashback kidogokidogo za hiyo mission, huku EUROPOL wamepata fununu ya hiyo mission wanaichunguza. In short ni ya kiboya wamarekani ndiyo wanajua tengeneza series za military operations waingereza walijaribu kidogo kwenye strike back, ila waliobaki hakuna kitu
Daaah mkuu siitafuti
 
nimejaribu hiyo web movie mb ndogo sana inafaa kwa bajeti....najaribu kudowload inaniambia nifanye installation sijui ads on nimeshidwa kukubali kubali nisije nikaingiza virus PC in mambo mengi muhimu hebu nipe abc kwanza kuhusu weweunatumia pc au simu
Simu mkuu, una ignore ads mkuu
 
Kwa wenye android.... Pakua apk inayoitwa cinehub..... Inafanana sana na netflix.
#hakuna matangazo
#movie na series za netflix, amazon prime, disney + zipo
#quality inaenda mpaka 720p
#subtitles za kingereza
#unaweza kuresume ulipoishia
Link ipo chini hapo,
Cinehub apk
View attachment 1663487
View attachment 1663488
Mkuu Shukran sna kwa hii kitu, ipo vzr sana, nilichopenda zaidi movie inakuwa iko fully na subtitles.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom