Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,680
1990CC
ina cc ngap hiyo
ina cc ngap hiyo
mkuu nahitaji tela peke akeScania 113
Bei: Milioni 45
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1223233View attachment 1223234View attachment 1223235View attachment 1223236
mkuu nahitaji tela peke ake
Mbona huandiki engine capacityToyota Starlet
Bei: Milioni 5.7
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1208846View attachment 1208847
Mbona huandiki engine capacity
SUBARU FORESTER 2009 CC 2500 INADIMAMIA BEI GANI VP KUHUSU ULAJI WAMAFUTA, NA NIKITAKA KUIAGIZA MIMI MWENYEWE NAFANYAJE TAFADHALI.
Nipe Rav4 L old mkuu no D m 12
Hii inacheza kwenye Milioni 20 ...Mafuta inakula inabidi uwe vizuri mfukoni... Kuagiza ipo mitandao ya SBT ,Befoward n.k
Za mkononi zenye namba mpya kama namba DN ,DM n.k unapata kwa Milioni 18 mpaka 17
Inatumia Mafuta zaidi ya harrier
mkuu vp voltzKama Harrier tu
mkuu vp voltz
Toyota Passo
Piston 4
Bei: Milioni 5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1223693View attachment 1223694View attachment 1223695View attachment 1223696View attachment 1223697
Cc ngapi hii?