Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Land cruiser VX
Mwaka:2000
74000km
Diesel
Automatic
Bei: Milioni 45
Mawasiliano :0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20191008-WA0045.jpeg
IMG-20191008-WA0038.jpeg
IMG-20191008-WA0042.jpeg
IMG-20191008-WA0043.jpeg
IMG-20191008-WA0039.jpeg
IMG-20191008-WA0044.jpeg
IMG-20191008-WA0046.jpeg
 
SUBARU FORESTER 2009 CC 2500 INADIMAMIA BEI GANI VP KUHUSU ULAJI WAMAFUTA, NA NIKITAKA KUIAGIZA MIMI MWENYEWE NAFANYAJE TAFADHALI.
 
Hii inacheza kwenye Milioni 20 ...Mafuta inakula inabidi uwe vizuri mfukoni... Kuagiza ipo mitandao ya SBT ,Befoward n.k
Za mkononi zenye namba mpya kama namba DN ,DM n.k unapata kwa Milioni 18 mpaka 17
SUBARU FORESTER 2009 CC 2500 INADIMAMIA BEI GANI VP KUHUSU ULAJI WAMAFUTA, NA NIKITAKA KUIAGIZA MIMI MWENYEWE NAFANYAJE TAFADHALI.
 
Make Londrover
Model Discovery

Mwaka 1997

Cc. 2490

-------- Disel

bado inakula Mafuta Vizuri Sana

bei ni Milion 9
Maongezi Yapo

Loc kimara
0620320089
IMG-20191010-WA0121.jpeg
IMG-20191010-WA0118.jpeg
IMG-20191010-WA0120-scale-2.jpeg
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom