Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Kiongozi Toyota haisi Zimepatikana?
na kama unazo bei gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo boss inategemea unataka engine ya petrol au ya diesel.
Ukitaka gari nzuri kabisa angalau pesa yako ianzie Milioni 15 na kuendelea

Hata hivyo unaweza kupata gari chini ya budget hiyo ya 15 inategemea ni diesel au petrol

Naomba tuwasiliane kupitia 0658124554 tushauriane vizuri ili tufanikishe hili jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota premio new model
Mwaka:2002
1790CC
Location:Bukoba
Bei: Milioni 8.5
Mawasiliano:0658124554
IMG-20190207-WA0072.jpeg
IMG-20190207-WA0075.jpeg
IMG-20190207-WA0073.jpeg
IMG-20190207-WA0071.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom