JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,012
Wakuu habari zenu,
Hii ni mada maalum ajili ya wauza magari kukutana na wanaotaka kununua magari.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Kuna baadhi ya matangazo hayaruhusiwi kabisa JamiiForums. Mfano matangazo ya kurasa za Blogs, Facebook, Instagram, Twitter au mtandao wowote yataondolewa mara moja. Kuweka link ya tangazo hairuhusiwi. Wala Picha yenye Matangazo.
Karibuni sana.

- Elezea Gari unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali Geri hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.