Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Messages
4,140
Points
2,000

Master of the game

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2016
4,140 2,000
Wakuu habari zenu,

Leo nimeamua kuja na mjumuiko wa magari ambayo naamini yatawafaa wengi. Nayaorodhesha hapa kama ifuatavyo.

NB: Magari mengi yapo post za chini. Kama hutaweza kupitia zote, nakushauri upitie japo post 5 kuanzia chini kuja juu.

1: Toyota Mark X ya mwaka 2004, imetembea km 203000, engine 2990cc, bei ni 8.3M

FB_IMG_1509422034649.jpg
FB_IMG_1509422028820.jpg
FB_IMG_1509422017522.jpg
FB_IMG_1509422010671.jpg


2: Noah Townace ya mwaka 2001, imetembea km 128000, bei ni 12.5M

FB_IMG_1509421564500.jpg
FB_IMG_1509421561978.jpg
FB_IMG_1509421551289.jpg


3:Toyota Noah sr40, bei 8.5M
FB_IMG_1509437697157.jpg
FB_IMG_1509437691592.jpg
FB_IMG_1509437699548.jpg


4. Pick up double cabin engine 3l, bei 17M
FB_IMG_1509421931934.jpg
FB_IMG_1509421929742.jpg


5: Kluger new model, 4cylinder, bei 20M
FB_IMG_1509437057972.jpg
FB_IMG_1509437055461.jpg
FB_IMG_1509437050841.jpg
FB_IMG_1509437046222.jpg
FB_IMG_1509437041495.jpg

6: Prado Tx imetembea km 57000 ,engine 3rz, bei 26M
FB_IMG_1509437294610.jpg
FB_IMG_1509437292118.jpg
FB_IMG_1509437285388.jpg

Tuwasiliane kupitia 0689699704,karibuni sana.
 

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Messages
4,140
Points
2,000

Master of the game

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2016
4,140 2,000
Hii inacheza kwenye Milioni 20 ...Mafuta inakula inabidi uwe vizuri mfukoni... Kuagiza ipo mitandao ya SBT ,Befoward n.k
Za mkononi zenye namba mpya kama namba DN ,DM n.k unapata kwa Milioni 18 mpaka 17
SUBARU FORESTER 2009 CC 2500 INADIMAMIA BEI GANI VP KUHUSU ULAJI WAMAFUTA, NA NIKITAKA KUIAGIZA MIMI MWENYEWE NAFANYAJE TAFADHALI.
 

Forum statistics

Threads 1,356,078
Members 518,823
Posts 33,125,059
Top