Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Messages
4,112
Points
2,000

Master of the game

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2016
4,112 2,000
Wakuu habari zenu,

Leo nimeamua kuja na mjumuiko wa magari ambayo naamini yatawafaa wengi. Nayaorodhesha hapa kama ifuatavyo.

NB: Magari mengi yapo post za chini. Kama hutaweza kupitia zote, nakushauri upitie japo post 5 kuanzia chini kuja juu.

1: Toyota Mark X ya mwaka 2004, imetembea km 203000, engine 2990cc, bei ni 8.3M

FB_IMG_1509422034649.jpg
FB_IMG_1509422028820.jpg
FB_IMG_1509422017522.jpg
FB_IMG_1509422010671.jpg


2: Noah Townace ya mwaka 2001, imetembea km 128000, bei ni 12.5M

FB_IMG_1509421564500.jpg
FB_IMG_1509421561978.jpg
FB_IMG_1509421551289.jpg


3:Toyota Noah sr40, bei 8.5M
FB_IMG_1509437697157.jpg
FB_IMG_1509437691592.jpg
FB_IMG_1509437699548.jpg


4. Pick up double cabin engine 3l, bei 17M
FB_IMG_1509421931934.jpg
FB_IMG_1509421929742.jpg


5: Kluger new model, 4cylinder, bei 20M
FB_IMG_1509437057972.jpg
FB_IMG_1509437055461.jpg
FB_IMG_1509437050841.jpg
FB_IMG_1509437046222.jpg
FB_IMG_1509437041495.jpg

6: Prado Tx imetembea km 57000 ,engine 3rz, bei 26M
FB_IMG_1509437294610.jpg
FB_IMG_1509437292118.jpg
FB_IMG_1509437285388.jpg

Tuwasiliane kupitia 0689699704,karibuni sana.
 

Halaiser

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
1,250
Points
2,000

Halaiser

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
1,250 2,000
Haya magari yame base sehemu fulani ya Tanzania au ni popote pale? Nikiwa na maana kuwa kuuza na kununua. Kama ndivyo basi mngekuwa mnaelezea gari lilipo ili mnunuzi aweze kuona urahisi.
 

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Messages
4,112
Points
2,000

Master of the game

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2016
4,112 2,000
Mengi yanakua ni Dar es salaam isipokua machache ambayo yanakua nje ya Dar tunaandika mfano hiyo canter nimeweka Dodoma
Haya magari yame base sehemu fulani ya Tanzania au ni popote pale? Nikiwa na maana kuwa kuuza na kununua. Kama ndivyo basi mngekuwa mnaelezea gari lilipo ili mnunuzi aweze kuona urahisi.
 

Capitano

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
1,331
Points
2,000

Capitano

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
1,331 2,000

Forum statistics

Threads 1,352,626
Members 518,166
Posts 33,064,621
Top