nimepima Kakakiiza kama dkk 25 zilizopita
nahamasisha na wenzangu kupima afya zao
yeah... nimeenda
ila suala la status ni mambo binafsi sana
kabisa kiongozi
dada FL1nilijua umeolewa na una mume???haya mambo ya kupima hata nyie wanandoa mnayafanya????
Kupima ni confirmatory test ya mienendo ya mwenzi wako
red bold:MAJIBU PIA ULETEJe kuna kati ya wapenzi wa jukwa hili ameenda kupima VVU??leo ni 1,Dec,2010 siku ya ukimwi Duniani Mimi nipo hapa nanenane morogoro nacheki ngoma!!je wewe??ainkiller: