Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu mko powa...

Mim ni mpenzi wa yale mangoma ya enzi hizooo,,

Makundi kama The Temptations, Cool & the gang basi nikisikia vibao kama

Treat her like a lady, dady cool, don't let it till get enough, na vingi vya miondoko hyo,

Kipindi hiko EATV nilikua sibanduki.

Papa was a rolling stone.

Njooni jaman wahenga kama mimi.
 
Mkuu mimi sio mhenga ila hizi ngoma ninazikubali sana na nilikuwa mpenzi wa kipindi cha Radio One kinaitwa Mtaa wa Mangoma na mtangazaji alikuwa jamaa fulani anaitwa Moses Justine a.k.a Papaa Mo, nadhani ni marehemu kwasasa..
Tutajie kibao kimoja mkuu, au mwimbaji apa tukhmbushane.
 
Mkuu mimi sio mhenga ila hizi ngoma ninazikubali sana na nilikuwa mpenzi wa kipindi cha Radio One kinaitwa Mtaa wa Mangoma na mtangazaji alikuwa jamaa fulani anaitwa Moses Justine a.k.a Papaa Mo, nadhani ni marehemu kwasasa..
hiki kipindi kilikuwa bomba sana...kila jmos!
yani unaianza weekend vizuri kabisa na ngoma za enzi zile, siku hizi sidhani kama bado kipo hicho kipind.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom