Wapenzi wa interviews na documentaries

Jun 9, 2017
62
52
Habarini za muda huu wakuu, kwa wale wapenzi wa interviews na documentaries. Je, ni zipi kali kwako kuwahi kuzitizama na unatamani kuzirudia tena na tena, tushirikishe nasi hapa.

Mimi naanza na documentary moja inaonyeshwa ITV inaitwa KESHO LEO(tommorow today) ikiwa imetengenezwa na dw hua napata madini sana nikiitazama.

Kwa upande wa interview napenda sana kipindi cha SALAMA NA, interview zangu kali ni alizofanya na darasa, benpol na lord eyes, nilijifunza mengi kupitia hizi interview.
 
The Men who Built America.

Cornelius Vanderbilt, John D. Rockefeller, Andrew Carnegie, J. P. Morgan, and Henry Ford.
 
Back
Top Bottom