toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,626
Wale wapenzi wa twanga pepeta,akudo impact na fm academia nyimbo zao kuanzia 2002 mpaka 2012 tukumbushane enzi
Mimi nakumbuka
Mtu na pesa zake-twanga pepeta
Password- password ya maisha yangu naijua mimi na yako waijua wewe.....tukutane saa saba tukapata lunch kwa mama sabina yule
Hii nyimbo ya
twanga pepeta hii naipenda sana hadi leo
Fm academia
Heshima ya mwanamke-sio kila mwanamke anayekwenda bar ni malaya
Akudo impact
Mama vanessa
Walimwengu si binadamu=hawataki kuona wawili wakipendana
Miaka ya juzi juzi hizi bendi zilikua moto kisawa sawa miaka hii sijui wanakwama wapi
Haya nambie unaikumbuka ipi kali?
Sent using Jamii Forums mobile app