Wapenzi wa commedy kati ya Buster keaton,Charlie chaplin na Mr Bean yupi ni zaidi ya wote duniani?

Wanaosema Mr Bean ni zaidi ya Chaplin nadhani hawajabahatika kuwafuatilia hao watu vizuri. Mr Bean kamuiga Charlie vitu vingi.
 
Kwangu Mimi Charlie is the best
Sijamfatilia sana buster Keaton
Mr bean anazidisha Sana mbembwe
 
Back
Top Bottom