Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Raynavero
MV5BMzdhOWI3OGMtMWMyYy00MWE4LWExMTEtODZlNGYzMTJkMGNlXkEyXkFqcGdeQXVyMTA5NzIyMDY5._V1_.jpg
img-20200102-wa0000_j8nq.jpg
 
Wakuu,

Mimi ni mpenz wa movie za Kihindi, napenda sana story zao, nyimbo na action. Kuna movie naona siwezi kuzisahau kabisa.

Karan añd Arjun
Krish
Des Boy
Dhoom
Commando
Koyla

Naomben movie nyingine kalii unayoijua toka India nipate uhondo huo.

Uzi tayari
 
Wakuu,

Mimi ni mpenz wa movie za Kihindi, napenda sana story zao, nyimbo na action. Kuna movie naona siwezi kuzisahau kabisa.

Karan añd Arjun
Krish
Des Boy
Dhoom
Commando
Koyla

Naomben movie nyingine kalii unayoijua toka India nipate uhondo huo.

Uzi tayari
Maardani 1,2
 
Kuna muvi moja ya kihindi amitha yumo.. vipofu wanatrainiwa kuiba benki na wanafanikiwa.. anaekumbuka anikumbushe jina wakuu
 
3 Idiot ndio ilinifanya nianze kuangalia picha za kipindi, then nikaangalia nyingi tu, ila kali kuliko zote nilizowahi angalia

1. Eek Tha Tiger ya Salman Khan
2. Ghajin ya Aamir Khan
3. 3 Idiots ya Aamir Khan
4. V ya Sudheer Babu na Nani

Best Indian Movie so far on my side.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
DANGAR YA AMIR KHAN (WRESTLER HUMO)...SANJU YA RANBIR KAPOOR..DEVDAS THOUGH YA KITAMBO ILA EYE CATCHING..DILWALE DULHANIA LE JAYENGE YA MWAKA 1995 BY SRK (ACHANA NA HII MPYA).
 
kabhi alvida na kehna
Veer zaara
Kal ho ana hoo
Devdas
Om shanti om
My name is khan
Koyla
 
Back
Top Bottom