Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
Bollywood.jpg


Tujikumbushe movie za Kihindi zilizotubamba enzi hizo. Aishwarya Rai, she is called the most beautiful woman in the world


WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMISHWA FILAMU HIZI
Habari ya weekend wadau.

Leo nakuja na uzi huu unaotaka tukumbushane movie tamtam za kihind/Bombay. Binafsi nimekuwa mpenzi na mfatiliaji mzuri wa movie za kihindi. Nimecheki movie nyingi, ila movie ya "kuch kuch hota hai" ni the best ever indian movie.

Siichoki hii movie kuitazama. Napenda story yake na characters wake. Namkubali san king khan(SRK) na ndo my best indian actor. Kwa upande wa wanawake, namkubali san Kajol. Hakika wamekua na chemistry nzuri wanapoigiza pamoja hawa raia.

Swali kwako mdau mwezangu:

Ww unaikubali san movie ipi ya Kihindi?

Na ni waigizaji gan wawil wa kike mmoja na wakiume mmoja unaowakubali ever india?
Wafia muvi wenzangu za Kihindi nimeweka jukwaa hili spesheli kwa ajili yetu.

Sio kwamba sipendi muvvi zingine la hasha huwa naangalia sana tu isipokuwa za kibongo! iIla bado itabaki kwamba wahindi wako vizuri katika industry tena sana sababu wao wameanza kuekti mwaka 1950. Ziko muvi ukiangalia utapata hisia yaani zitakugusa hadi hata ulie.ukisema action kidogo wahindi wako vizuri kama Hollywood tu kwa sasa!

Kuna muvi za Kihindi ukiangalia kweli zitakugusa tena zikiwa translated yaani utaenda hata kukojoa! Hizi ndo muvi ambazo sichoki kuona:
  • Housefull3
  • Dilwale
  • Fan
  • Rowdy Rathore
  • Bombay Velvet
  • Super Man Shenshaa
  • Dabbang2
  • Singhan Return
  • Fying Jyhaat
Katika nnaowakubali kweli nitakuwa mchoyo nisipomtaja akshay kumar huyu ndo my favorite kuna shahrukhan, Salman Khan, Ajay wote hao ni shida tupu!

Hembu weka na ww na maujanja yako unayojua kuhusu wadosi.
Nimeona movie inaitwa Pyaar Impossible nimependa sana story yake, nahitaji nyingine kibao kama hizi. Nawaomba wadau mtiririke ili nizitafute


WADAU WANASEMAJE?
  • Disco Dancer
  • Kasampaida
  • Koyla
  • Jagira
  • Commando Mithuni
  • Vishwatima
  • Tridev
  • Dilwale
  • Sapoti
  • Gangaajumana
  • Shaensha
  • Mard
  • Amnesamne
  • Kuchikuchi Hota he
  • Kabikushikabigam
  • Kanoon
Duh hii zipo nyingi japo sikuizi nimeacha katika mastaa nampenda kajol na preity zinta
  • Bhajrang Bhaijaan (Salman)
  • Ghajini (Amer Khan)
  • Koi Mil Gaya (Hrithik Roshan)
  • Dilwale Dulhania Lejayenge (Shah rukh khan)
  • Drishyaam ya Ajay Devgan
Ni muvi kali kinyama. Ngoja niwape trela yake.

Ajay aliacha shule hajafika hata form4 ikabidi ajiajiri akafungua tv cable katika huo mji wao na kuendesha maisha yake na familia yake ya mke na watoto wawili wa kike mmoja akisoma chuo mwingine elementary.

Ajay ni mtu anapenda kutazama muvi hiyo inamfanya hadi wakati mwingine kuchelewa nyumbani au kurudi asubuhi kabisa.

Kuna kijana wa kiume mtoto wa IGP wa polisi alikuwa akisoma na mtoto wa ajay.kuna siku mtoto wa ajay aliingia bafuni kumbe yule dogo katega kamera ili aitumie hiyo video kwa kumtisha mtoto wa ajay afanye nae mapenzi!

Kiburi cha mtoto wa IGP kikampeleka hadi kwa ajay ndani na kutaka kumbaka yule mtoto kilichotokea ni bahati mbaya yule mtoto akapigwa kichwani akafa!

Usiku sana Ajay anarudi na kukuta huo mkasa wa kuuliwa mtoto wa igp na kuzikwa uwani kwake.

Hapo ndipo anaposolve hiyo crime kwa kutumia mifano ya muvi alizokuwa akiangalia na kufanikiwa ingawa wote yeye na watoto wake na mke walikula kichapo cha haja.
Movie zilikua enzi izo, wachuchu wakali na mastering wa ukweli
  • Raveena Tandon
  • Kajol
  • Sonum
  • Karishma Kapoor
  • Shakti kapoor
  • Samrat
  • Dimple Kapadia
  • Madhur Dixit
  • Juwli Chawla
  • Nasoordin Shah
  • Drishyam
  • Kahaani
  • Kahaani 2
  • A Wednesday
  • Talaash
  • The Stoneman Murders
  • Talvar
  • Ugly
  • Rahaysa
  • 404
  • Kick
  • Zindagi na milegi dobara
  • Karthik calling Karthik
  • Flying jet
  • Baag
  • Bang bang
  • Two states
  • Kaabil
  • Goolmal again
  • Commando 2
  • Jolly llb
  • Salam Ishiq
  • Jodha Akbar
  • Umrao Jao
  • Salama Namaste
  • Woh Lamhe
  • Love Akjaal
  • Tara Rum
  • Kisna
  • Kushi
  • Kuch Na Kahoo
  • Kabhi Alvida Naa Kehna
  • Sakar Raj 1&2
  • Slumdog Millionaire
  • Veer
  • Muhste Dosti Karogue
Nimechoka kukumbuka majina bana, hizo hapo za tosha kwa sasa.
> Sholay –
Amitabh , Dharmendra , Shashi kapoor, Hema malini .

> Shaan -
Amitabh , Rekha

> Qurbani -
Shatrugan sinha, Vinod khana, Zeenat'aman.

> Do our do panch- Amitabh , Neetu singh .

Kwa uchache tu .
  • Koyla
  • Sholay
  • Mere Ram Mere
  • Ashok
  • Sangdil Sanam
  • Andhaa Kanoon
  • Sita Awa Gita
  • Sajaan
  • Koi Mil Gaya
  • Imtihan
  • Dilwale
  • Dilwale Dilhania Di Jayenge
  • Suhaag
  • Plat Form
  • Deedar
  • Soldier
  • Chori Chori Chupke Chupke
  • Qayamat se Qayamat Tak
Kama bado sema niendelee
Bila kusahau hizi story bomba napenda pia na songi zote zilizomo kwenye hizi filamu
  • Jo Jeeta Wohi Sikandar
  • Muqaddar Ka Sikandar
  • Mr India
  • Trishul
  • Gopi Kishan
  • Hum Kisise Kum Naheen
  • The Great Gambler
  • Mere Apne
  • Amar Akbar Anthony
  • Hatya
  • Zanjeer
  • The Train
  • Kati Patang
  • Amar Prem
  • Roti Kapada Aur Makaan
Nami niendeleee?
  • PK
  • 3 idiots
  • Dostana
  • 36 China town
  • Jab tak hai jaan
  • Hyper
  • King liar
  • Judwaa 2
  • Student of the year 1
  • Kapoor and sons
  • Dilwale
  • My name is Khan
  • Ek tha Tiger
  • Tiger Zinda hae
  • Bank Chor
  • Jhoom barabar Jhoom
  • Players
  • Dhoom 3
  • Baahubali 1&2
  • Padmaavat
  • Housefull 3
  • Yeh jawaani hai Deewani
  • Bang Bang
  • Prem Ratan Dhan Payo
  • Kick
  • Bajrangi Bhaijan
  • Rocket Singh
  • Duplicate
  • Kal Ho Naa Ho
  • Yevadu
  • Badrinath
  • Holiday-a soldier is never off dutty
  • Phantom
  • Mohenjo Daro
  • Bajirao Mastani
 
Last edited by a moderator:
Mimi hawa uwa awanivutii kabisa sababu wabaridi sana kama friji, lakini naona huyu kaongezea na artificial kimtindo.
 
Well, I would say she is beautiful. Yes, in India, coffee. But in the world? A S 13In my opinion, my wife takes that tittle.
 
Ni mzuri kweli. Website moja nilimkuta anashindanishwa na Anjelina Jolie na mchuano ukawa droo
 
Well... I would say she is beautiful.. yes.. in India..☕.

..... But in the world?:A S 13:.. In my opinion, my wife takes that tittle..

Hehehe Sawa mkuu mambo ya I THINK I LOVE MY WIFE. Sama ukiwa mpenzi wa filamu na kufuatilia waigizaji katika maisha yao binafsi utakuta huyu yupo rated ni among most beautiful stars katika ulimwengu wa sasa wa filamu.
 
Ni mzuri kweli, website moja nilimkuta anashindanishwa na Anjelina Jolie na mchuano ukawa droo

Yeh FL1 nafikiri huyu kamzidi kidogo A. Jolie"nikiwa naangalia filamu zake huwa naduwaa kwenye macho yake utadhani ni ya sanamu"
 
Salam Namaste Vipper….lol…

Nimona nitumie salamu yao in the courtesy of aishwarya rai Bachan… namkubali huyu dada hakuna mfano… to me she is the Angelina Jolie of Bollywood akifuatiwa na Priyanka Chopra... Her best works to date kwangu ni Sakar Raj II (ame act na the husband na mkwe…), Jodha Akbar (akiwa na kijana very matata Rhitik Roshan…) Guzarish (akiwa na Rhirik pia…), Umrao Jan (akiwa na the husband)… Dah! In short she is good.

Kwa wale wenye excuses kua hawaangalii za kihindi she is an international artist, tafuta her Hollywood best in Bride and Prejudice; The last legion (tena akiwa na Collin Farrel! Won't be disappointed..) dah' nimesahau moja jina napenda kweli… enways potezea….oh nimekumbuka… Mistress of Spices… when you watch this you will forever fall in love with her!

Alafu wapiiiii PEARL…. Huyu dada ndo mahali pake!!!! lol
 
Salam Namaste Vipper….lol…

Nimona nitumie salamu yao in the courtesy of aishwarya rai Bachan… namkubali huyu dada hakuna mfano… to me she is the Angelina Jolie of Bollywood akifuatiwa na Priyanka Chopra... Her best works to date kwangu ni Sakar Raj II (ame act na the husband na mkwe…), Jodha Akbar (akiwa na kijana very matata Rhitik Roshan…) Guzarish (akiwa na Rhirik pia…), Umrao Jan (akiwa na the husband)… Dah! In short she is good.

Kwa wale wenye excuses kua hawaangalii za kihindi she is an international artist, tafuta her Hollywood best in Bride and Prejudice; The last legion (tena akiwa na Collin Farrel! Won't be disappointed..) dah' nimesahau moja jina napenda kweli… enways potezea….oh nimekumbuka… Mistress of Spices… when you watch this you will forever fall in love with her!

Alafu wapiiiii PEARL…. Huyu dada ndo mahali pake!!!! lol

Naam Asha D kya sahe...

kuna kajol lakini naona amechuja sikuhizi.. "

hube mcheki kajol enzi zake



Umemsahau kareena kapoor ! dada huyu naye ananikosha saana...

Kareena Kapoor
KareenaKapoor.jpg
 
Last edited by a moderator:
Naam salaam namaste bhai..

kuna kajol lakini naona amechuja sikuhizi.. "

hube mcheki kajol enzi zake



Viper ni makosa saana kusema Kajol amechuja. Huyo dada katika historia ya movie Bollywood kacheza nafasi nyingi, kubwa, influencing... ni kweli time goes on but ukizingatia miaka aliyotoka na alivyo sasa, huwezi tofautisha... nam
admire ki aina ila si kipenzi changu saana. Na kama unavyo elelwa to any real Indian na Bollywood lovers, wapi utaacha kuchkuch hotai (sorry kama nimekosea spelling...)

That is one of an all time romance.

Hata hivyo si juzi juzi hapa kacheza na Sharuk Khan picha ya MY NAME IS KHAN! Bado wapo bana.
 
Last edited by a moderator:
asha d
Uliiona chandni ya zamani kidogo? sri devi?

Unamfahamu lakta mangeshkar? Zipi unazopenda za lakta?

The Boss sijawahi kuona Chandi, ninayo kwenye collection but hunitia uvivu, sioni kama ni nzuri. Nimeanza kuangalia picha za Kihindi juzi juzi tu hivyo nyiiiiingi nimeangalia dont know the names yet. Nilo bold hapo yoote mageni, alafu waweza kuta nafahamu ila sijajua ndo hio, kama ni wa zamani, ni evident siwajui fresh.
 
The Boss sijawahi kuona Chandi, ninayo kwenye collection but hunitia uvivu... sioni kama ni nzuri. Nimeanza kuangalia picha za Kihindi juzi juzi tu hivyo nyiiiiingi nimeangalia dont know the names yet...
Nilo bold hapo yoote mageni... alafu waweza kuta nafahamu ila sijajua ndo hio... kama ni wa zamani
ni evident siwajui fresh.
Aisee basi umepitwa na mengi, itazame hiyo chandni. Filam za zamani ndo zenyewe, hyuo lakta mangeshkar ndio muimbaji maarufu kuliko wote India.

Ni kibibi now but nyimbo zote za kihindi maarufu kaimba yeye, wewe nenda you tube tafuta nyimbo hizi
kabhi kabhi, jo wara na zingine
 
je mnaikumbuka "Jumma Chumma Dede" ya Amitabh Bachchan " kuna rafikiyangu alinambia maana yake "today is friday & u promised to kiss me "
 
Last edited by a moderator:
Aisee basi umepitwa na mengi, itazame hiyo chandni. Filam za zamani ndo zenyewe, hyuo lakta mangeshkar ndio muimbaji maarufu kuliko wote India.

Ni kibibi now but nyimbo zote za kihindi maarufu kaimba yeye, wewe nenda you tube tafuta nyimbo hizi
kabhi kabhi, jo wara na zingine

Kama umesema nzuri. Naamini nzuri, i will watch it. Ako ka brief history uliko nipa ka Huyo mbibi explains why
simfahamu. I love knowing things. Nitamfuatilia nimjue vyema.
 
je mnaikumbuka "Jumma Chumma Dede" ya Amitabh Bachchan " kuna rafikiyangu alinambia maana yake "today is friday & u promised to kiss me "



The Boss mtaalam naamini atakua anafahamu.. BUT I love maana yake ya ukweli saaana!!! ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
Kama umesema nzuri... naamini nzuri, i will watch it.
Ako ka brief history uliko nipa ka Huyo mbibi explains why simfahamu. I love knowing things. Nitamfuatilia nimjue vyema.

Yaani huyo bibi ingia you tube. tafuta most popular songs of her usikilize. Kuna filam za kihindi ni classic, hasa za Amitabh Bachan za zamani
 
Back
Top Bottom