Wapenzi Kusalitiana mara kwa mara kunaongeza Ubunifu na Utamu wa Mapenzi / Mahaba

Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
Wataalam wa masuala ya Mapenzi na Mahusiano wanasema kwamba wale Wapenzi wanaosalitiana mara kwa mara huwa na Ubunifu mkubwa Kitandani na kwamba hata Mahaba yao huongezeka Utamu maradufu kiasi kwamba huwafanya kila Uchao kufurahia Mahusiano na huwa yanadumu mno.


Wataalam hawa walienda mbali zaidi na kutoa mfano kwamba Kitendo hiki ni sawa na Mchezaji wa VPL ( Ligi Kuu ya Tanzania Bara ) ambaye kama akipenda sana kucheza ‘ Ndondo ‘ ( mechi za mitaani / uswahilini ) basi hujiongezea ubunifu mkubwa ambao huja baadae kumsaidia akienda kuichezea Klabu yake katika Ligi Kuu na kumfanya awe mahiri na kupata mafanikio makubwa.


Je Wataalam hawa wa masuala mazima ya ‘ Kubanduana ‘ ( Mapenzi / Mahaba ) wako sahihi au na wao ‘ wamekengeuka ‘ na kuwa wa hovyo hovyo / wajinga?


Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom