Wapenzi kufatiliana zero distance, hasara kubwa kwa faida ndogo.

I know, ni ngumu sana. Nimebaki kuwish tu, l wish tungekuwa waaminifu, l wish.... I wish...

Kutendwa kama alivyofanyiwa huyo dada (yaani wanawake wa nje 2 halafu ni peku peku) bora mmama wa watu alivyojua. Na l think, alikuwa anatafuta proof tu. Sidhani kama things zinaenda vizuri angeenda that far!

Kwa upande mwingine, wanasema ukitafuta kosa utalipata kwani ni kama unatumia lens kukagua kama meza imefutwa vizuri. Kama things ziko okay (kwenye relationship) ni vizuri kutochunguza sana!
Njia anayoitumia gfsowin if l got her right, ni badala ya kutafuta mabaya anaconcentrate kwenye mazuri na with the right altitude unaweza mfanya mwenza kuacha/kupunguza mabaya na kuongeza mazuri kwani anakuwa rewarded kwa yale mazuri na sio reprimanded kwa mabaya!

Kazi mnayo, msio na the like of my Eiyer!

Kaunga!
Umenishibisha na hazina ya wise uliyoshusha hapa "unaona mbali"
 
Last edited by a moderator:
hapa inaonesha waz mke ashamchoka mmewe,bas tu alikuwa anatafta uhakika na njia ya kuondoka. na kamchoka kwa tabia alizoziona kwa mumewe na mabadiliko kwan mke hawezi kukurupuka pasipo sababu kufanya hivo. ashaona dalili mbaya ndo mana akaamua kufanya uchunguzi. kha... me ctaki kufa haraka kwa magonjwa kisa mwanaume. cm yake yake na yangu yangu thou me binafsi najiamini hata Saint Ivuga anajua!
 
Last edited by a moderator:
hapa inaonesha waz mke ashamchoka mmewe,bas tu alikuwa anatafta uhakika na njia ya kuondoka. na kamchoka kwa tabia alizoziona kwa mumewe na mabadiliko kwan mke hawezi kukurupuka pasipo sababu kufanya hivo. ashaona dalili mbaya ndo mana akaamua kufanya uchunguzi. kha... me ctaki kufa haraka kwa magonjwa kisa mwanaume. cm yake yake na yangu yangu thou me binafsi najiamini hata Saint Ivuga anajua!

Charm!
Pia hii maneno ni mtambuka, both sides zinahusika! Si kwamba wanawake ni Angel , wametakasika.
 
Last edited by a moderator:
Umeiona eeh ? Alafu Mazee Curtura hua nakukubali sana kwa comments zako pande zile! Ntakustua tukigongana midamida.

teh teh teh, usiwe unasoma between the line hivyo mkuu, nyingine huwa ni porojo tu za kuchangamsha jukwaa...
 
wanaume na nyie wakati mwingine lol, hakyanani kazi tunayo hivi unapoamua kuoa si unakuwa ushacheza na kuonja vya kila aina kwanini usitulie na mkeo? mnaenda tafuta matatizo tu huko nje haya sasa hapo kashaongeza familia maisha yenyewe ya siku hizi lol, alafu hata kinga hakuna mweee, alafu hivi mbona jamani mbona unachoenda kutafuta huko nje hata mkeo anacho tena wala kwa nafasi si kwa kujificha jamani??????????????? aaaaaaaaaaaaaargh
 
Judgement cjamaanisha kuwa sisi ni malaika noo, unajua mtu hawezi kukurupuka from nowhere kuanza kukupekua kama mambo yapo shwari i.e hakuna ugomvi,upendo kupungua n.k. na km atakupekua pasi na sababu nae atakuwa ni mwizi tu kwan daima mwizi huwa hamwamin mwizi mwenzie!
 
Last edited by a moderator:
. Wanaume karibu wote ni wezi wa mapenzi nje ata akulambe mpaka .... lakini kuna pengine napo analamba ukisha jua hilo usitake kujua analamba wapi to hell with whatever business he has

aisee, sijui hata mimi niko kwenye hili kundi...
 
Yani mnaacha kuzungumzia tatizo (substance) mnaongelea kufuatiliana. Mi kubwa naloliona hapo ni mtoto na mimba; mke kajuaje ni nakadhalika tu kwani angejua tu hata asingebadili chip card.
 
Ahahaha! hiyo kali, huo ufuatiliaji ni too much. Nadhani wamepata walichokua wanataka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom