Wapendwa Wana Chadema Tubadilike

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Imekuwa ni kawaida kwa chama husika harakati za kisiasa kuelekeza kanda moja. Hii hali inakera sana, kila siku mikutano ya CDM ni AR town, au Moshi tu kwa nini? Nyie wanachama na wafuasi mtokao nje ya AR na Moshi kwa nini mnamuogopa mwenyekiti, mpeni ukweli kuwa UKANDA haufai.
Takwimu zililopo ni kuwa tangia Uchaguzi Mkuu 2010, kanda ya kaskani imefanywa mikutano 30, kusini 1, kusini nyanda za juu 2, magharibi 1, ziwa 4, mashariki 3, kati 2.
Waulizeni viongozi wenu kwa nini hawataki kuimarisha chama nje ya kaskazini AMA TUAMINI MANENO YA NASARI KUWA CHAMA CHA KIKANDA??
 
Huna cha kupost wewe hii thread yako haina mshiko ndio tatizo la kulala na beki tatu hili. wewe ni gamba badilika na hayo masaburi yako
 
kamuulize kwanza mwenyekiti wako JK, amefanya mikutano mingapi kusini?
 
Huna cha kupost wewe hii thread yako haina mshiko ndio tatizo la kulala na beki tatu hili. wewe ni gamba badilika na hayo masaburi yako

Igeni CCM imeenea bara na pwani, kaskazini na kusini,mashariki hadi magharibi. Kama wataka kuchukua uongozi ni sharti upate kura TZ yote
 
MAFILILI meongeza Post zako, wahi Lumumba kwa Nape ukachukue chako jioni hii
 
Last edited by a moderator:
Imekuwa ni kawaida kwa chama husika harakati za kisiasa kuelekeza kanda moja. Hii hali inakera sana, kila siku mikutano ya CDM ni AR town, au Moshi tu kwa nini? Nyie wanachama na wafuasi mtokao nje ya AR na Moshi kwa nini mnamuogopa mwenyekiti, mpeni ukweli kuwa UKANDA haufai.
Takwimu zililopo ni kuwa tangia Uchaguzi Mkuu 2010, kanda ya kaskani imefanywa mikutano 30, kusini 1, kusini nyanda za juu 2, magharibi 1, ziwa 4, mashariki 3, kati 2.
Waulizeni viongozi wenu kwa nini hawataki kuimarisha chama nje ya kaskazini AMA TUAMINI MANENO YA NASARI KUWA CHAMA CHA KIKANDA??
Kwa nini unakuwa mwongo?
Mtu mzima hooovyoooo! Je Mwanza hakuna mkutano!!
 
ungesema wapendwa wanacadema mbadilike!
tunakujua wewe ni gamba damu bwana!
unajifanya your among of us!
 
hata bacelona wanajiamini zaidi wakiwa nou camp.
hoja yako ni muflis kwa sababu hata tanu kuna mahali ilikubalika zaidi wakati inaanza.
 
Hivi hukupewa ukuu wa wilaya eeh nimejua ndo maana hasira zako unahamishia humu umewasemea sana utapata ukada wa magamba.no dought
 
Naomba hata kama ni gamba mlieleweshe ili likaelemishe na wengine,kwa nijuavyo mimi mikoa ya mbeya,iringa,moshi ,arusha na hiyo manyara yote ,kanda ya ziwa ndiko kuna idadi kubwa ya wapiga kura na huko kote m4c imeshafagia ,waliobaki wajiulize wanangoja nini huko utumwani?mkoloni mweusi na aondoke!
 
Back
Top Bottom