Wapendwa msiharibu chakula hata kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapendwa msiharibu chakula hata kidogo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 18, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ndugu zanguni wapendwa,

  Niko na kaka yangu mmoja mchungaji ametoka Sudan yeye alienda zaidi ya miezi mitatu kwa ajili ya kuiombea Sudan...amepita katika mapito mengi sana lakini Mungu wa kweli alionekana katikati yao ...ilikuwa ni prayers za wachungaji wa east Africa yeye Mungu akamchagua kuwepo ndani yao walipofika walikuwa 68 lakini jinsi walivyokuwa wanasali na kuendelea kumwomba Mungu wameona mambo mengi sana moja wapo ni mateso ya chakula.

  Nashukuru alikuwa na adabu siku nyingi sana lakini amerudi na wito kwa watanzania tuwaombee wasudan..walikuwa wanatembea na gari mtu mmoja akawambiaa huko mnapoenda kuna jamaa wa alshabab wata wamaliza akawambia wenzake jamani Mungu ninaemwamni atatuongoza
  waliwa wamefika sehemu malaika akamwonyesha watu wanalia sana sana na viungo vya watu vimetapakaa
  akasema washuke wakajifiche sehemu aikuchukua dk 30 lile kabasi walichokodi kirushiwa kitu kikaanza
  kuwaka moto wakaomba Mungu sana maana jamaa asbh huwa wanarudi nyuma...ilipotoka mwanga wakaanza
  kurudi huku wamefunga.

  Namshukuru Mungu wamemwaga annointing oil ya baraka juu ya wasudan, blood ikamwagwa kwa ajili ya kusamehe dhambi zao waliouwa wenzao...hakika anasema wanaitaji maombi yenu.

  Unaweza shangaa lakini akihadithia ni story ndefu walipokutana 68 wakaanza kutembea sehemu mbali mbali waakafika sehemu wakambiwa mnajua hii sehemu na mnapoelekea kuna watu walikuja hapa waganda na wanawake wawili mnaona yale makaburi wakauliza vipi wakadai walipoanza akutaja Mungu, Mungu wakaitiwa kelele wakazunguka gafla akaja kiongozi wao mmoja akasema hawa wanawake waingizeni mvijiti masikion mpaka itokee upande wa pili..

  Hakika awakuchukua masaa wakafa yule mchungaji na wasaidiizi wao walipigwa risasi za mdomoni hakika ukiw a umeitwa na mungu akuna kinachoshindikana anasema baada ya ile story zaidi ya 40 wakasema turudini tutafia huku hata watuchimbie humu tushindwe kuzikwa na ndugu zetu akasema wakabaki 28 wakasonga mbele lakini waliposhuka kwenye gari lilipowashwa moto waliondoka wengine wakarudi wakaabaki 8 na maombi ya kufunga na walaipo rudi mjini walikuta wawili tu..wamebaki wanwasubiri waondoke zao.

  Ndugu wapendwa mkiwa kwenye maombi ikumbekeni sudan ya kusini mungu awalinde katika kuongoza
  nchi ile.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mwambie aende na Somalia.
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Storry yako nzuri sana, tunashukuru kutujuza kuwa Al-Shabab wapo mpaka Sudan
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Uandishi mwingine kiboko.
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Kazi ipo. Ni kama kichaa vile. Mawazo hayana mpangilio wowote. Yanaporomoka tu. Sijaona uhusiano na kutoharibu chakula katika story yake!!
   
Loading...