Wapendwa mliopo Mbeya nawaombeni msaidieni binamu yangu kibarua chochote halali

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,091
Habari waungwana
Nina binamu yangu wa kike ana umri wa miaka 20 elimu yake ni form four kuna sehemu alikuwa akifanya kazi ya kuuza duka boss wake alifariki baada ya hapo watoto wa marehemu wakamtoa hivo kwa sasa yupo tu anahangaika kutafuta mahali pengine na bado hajafanikiwa,hivo nawaombeni mumsamdie binamu yangu kumuunganisha na kibarua chochote halali isipokua kazi ya ndani na kazi ya bar kwa Mbeya mjini maana ana mama yake ambae kidogo umri umeenda hivo yeye ndiye anaeishi nae hapo nyumbani hivo anamtegemea hawezi kwenda mbali..shukrani.
 
Back
Top Bottom