Wapendanao juu ya mlima Kilimanjaro

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,646
12,251
Wadau MMU habari zenu.?
Nimeona leo nije na ofa hii ya trip kwani ni nzuri sana kwa wapendanao/marafiki nk kwani ni safari inayochukua muda mwingi mlimani, siku 7 kwa hiyo ni taratibu,huku mkipeana "chakula cha usiku njiani" hususani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka,wengine wakifikiria ni wapi waende kula Krismas.
Napenda kutangaza kuwa kutakuwa na safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kuanzia tarehe 22 Desemba hadi 28 Desemba 2013,kupitia njia ya Machame (siku 7) hivyo kwa mtu yeyote atakayependa kupanda mlima huo na kula sikukuu ya Krismas juu ya mlima,tunaomba awasiliane nasi kwa maelezo zaidi.Gharama ni laki 3 na nusu za kitanzania (Ikijumlisha viingilio,chakula,guides,porters nk) Tumebakiwa na nafasi chache sana.Mawasiliano 0787140432.
 
kwa hiyo wapendanao kikubwa watakachofurahia kwenye hii safari ni chakula cha usiku hamna jambo lingine la muhimu,..
 
kwa hiyo wapendanao kikubwa watakachofurahia kwenye hii safari ni chakula cha usiku hamna jambo lingine la muhimu,..
Kula Chakula cha usiku mlimani ni amazing experience, just imagine mtu anayeishi Dar es salaam kwenye JOTO 32C+ leo awe anapanda mlima Kilimanjaro,kisha afike kituo fulani cha kulala halafu apate Chakula chake cha usiku,wewe huoni hiyo ni kitu kizuri..? Yapo mengi muhimu ila hilo nalo ni muhimu kama ilivyo chumvi kwenye Vyakula.!
 
Hahahahaaa so interesting please next time plan it a bit earlier saa hizi ratiba ziko tight sana. Ni upande wangu sijui kwa wengine
 
Kwani ni lazima uwaambie watu wakafanye uzinzi mlimani?
Tafsiri ya neno wapendanao ni pana sana,Safari hiyo haitahusu wapenzi tu,hata baba na binti yake,mama na kijana wake wa kiume,hao wote wanapendana,suala la kugegedana ni OPTION ya mtu,tunakaribisha pia walio Single kwenye trip hii..!
 
Hahahahaaa so interesting please next time plan it a bit earlier saa hizi ratiba ziko tight sana. Ni upande wangu sijui kwa wengine
Pole,do not worry.Get prepare kuna nyingine departure 04th February 2014.May call us for more Info..!
 
Back
Top Bottom