Wapenda nauliza eti vile vyuo mnavyoita bebabeba mwaka huu vipi mmevipata!

geniusMe

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
1,307
2,000
Nimepitia threads nying humu kwenye jukwaa kabla ya selection na baada ya selection , naona mambo yamekua moto before selection kulikuo na tambo za kwamba kuna vyuo vibovu aka shamba la bibi ukiomba lazima upate , baada ya selection naona tena chenga watu wanakwambia usichague unakosa hicho , naomba kuhuliza vip experience yako na chuo cha shamba la bibi mwaka huu ambapo ukichagua tu unapata , nataka niwashauri marafiki zangu waliokosa labda na wao wajaribu hivyo , lakini naona watu wamebadilika sasa sijui shamba la bibi ni chuo gani , maana kuna watu wanania ya kuingia tu degree hata kisoma kozi yoyote lakini vyuo vinatoa moto havishikiki.
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
6,816

Ukijichanganya unakosa kabisa chuo,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom