Kufuatia serikali za kiafrika kuendelea kuwanyanyasa wapenda haki kwenye nchi husika na kuendeleza utawala wa kibabe barani afrika tumuombee Donald Trump awe rais wa usa ili aweze kuwakomesha hawa watawala ma dikteta wa afrika ili tukombolewe
Sioni Trump akiwezana na kina Mugabe, atakuwa anaongea tu na kuna hatari wale marafiki zake wa karibu wakajiweka nae mbali, kina Uk.
Jamaa ana interest na Us kwa nini ahangaikie Afrika? Sana sana atainyonya rasilimali zake tena kwa mabavu.
Kufuatia serikali za kiafrika kuendelea kuwanyanyasa wapenda haki kwenye nchi husika na kuendeleza utawala wa kibabe barani afrika tumuombee Donald Trump awe rais wa usa ili aweze kuwakomesha hawa watawala ma dikteta wa afrika ili tukombolewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.