CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Watanzania, sio jambo jema la kulishabikia, kundi la uamsho huko Zanzibar linalo hubiri hadharani kuwa Muungano uvunjike!!!! Inawezekana tukasema tuwapuuze, lakini we have to think twice!! It is shocking kuwa wanapokuwa wanahubiri wakiuliza "nani anapenda muungano uendelee, uwanja wote unakuwa kimya, wakisema nani anataka Muungano uvunjike, majority wanaamsha mkono!!! Hawa sio wa kupuuza kama tunataka muungano uendelee kuwapo. Serikali inalifumbia macho kundi hili haramu. Tafakari, chukua hatua!!!