Wapemba kupimwa Ebola ni aina ya Uzayuni

Ni kudhalilishwa sana iwapo upimaji unafanyika kwa ubaguzi wa makundi ya watu na pasipo na ulazima.
Si udhalilishwaji tu bali ni upotevu wa rasilimali za taifa na kupoteza nguvu ambazo zingetumika kuzalisha pahala pengine.
Wanaotumia meli hiyo ya Bakhresa wanasema zamani wale wanaokaa mjini walikuwa wanafika majumbani mwao takriban robo saa tu tangu meli itie nanga ,lakini sasa hivi ni usiku mwingi ndipo wanapofika.
Point unayo lakina labda ungebadili neno. Udhalilishaji haupo hapo
 
Hio meli imetoka nje ya nchi.
Lazima mpimwe. Tena inabidi mpimwe hadi ukimwi.
Kama una ngoma unarudishwa kwenu kwenda kula urojo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom