Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Sitaki mtoto wangu aje kuwa engineer ambaye hajui Rais wa Nigeria anaitwa nani. Dunia ya sasa inataka maarifa mengi hata kujua bargaining skills ni muhimu.
Hata mall ya Toronto ninafanya bargaining kwa Sana,sijali,Ni skill nilijifunza Mbeya mjini.Hata ninunue kitu wapi siamini katika Bei ya kwanza,Ni vitu vingi namevipata vingine nitakufa niviache,thanks to Mbeya city attitude.
 
Ninakaa Tunduma. Karibu sana mkuu
 
Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
 
Nishakujibu juu naongeza kwa manufaa ya wengine.

Mimi sina mtoto ila najua Dunia inaelekea wanangu nitawaweka mapema sana kwenye uwelekeo wa Dunia nitawaongoza as time Go watajenga PASSION na sehemu niliyo wa EXPOSE mapema na ku generate ndoto zao humo...

Wanangu mpaka miaka 15 nataka wawe na uwelewa mkubwa sana kwenye
*Info Tech
*Finance kwa asilimia zake
*Lugha (Eng/France)
*Presentation Skills

Mpaka kufika miaka 18 wawe nondo zaidi mpaka miaka 20 watajiongoza wenyewe maana washatengeneza Passion Hormone sehemu nilizo wa Exposure kazi nayobaki nayo kuwasapoti FUND kwa wanayoyaendea.
Hpo kwenye france weka chinese
 
Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
 
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.
 
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
 
Itamsaidia nini kumjua?
Kwa nini isiwe "sitaki mtoto wangu asijue jinsi ya ku design jambo lolote hapa duaniani linalohusu fani yake! ".
Kama lengo lako mtoto wako awe raisi basi awajue wote wa dunia nzima na historia zao vinginevyo ni kupoteza muda tu.
Hujamwelewa mtoa post kwa maana... Umetembea na mistar yake tu... Hapo hiyo ya Rais ametolea mfano tu
 
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom