Wapata Adhabu ya Kifo kwa Kumuua Mtumishi wao wa Ndani Kikatili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapata Adhabu ya Kifo kwa Kumuua Mtumishi wao wa Ndani Kikatili

Discussion in 'International Forum' started by Power G, Feb 23, 2012.

 1. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  A court has sentenced a Kuwaiti couple to death for beating and then murdering their Filipina domestic helper, newspapers in the Gulf state reported on Monday.

  The criminal court found the disabled husband and his wife guilty of "premeditated murder" after throwing the maid from their car and driving over her, Al-Rai and Al-Anbaa dailies reported, citing the verdict.
  No names were published in the reports, for the couple or the maid.

  Newspapers said that based on testimony by one of the couple's sons, the wife beat the maid for days until her health deteriorated.

  The boy told interrogators that his parents had said they were taking the maid to hospital for treatment, but that he never saw her again.

  According to the ruling, the couple took the maid, who was "unconscious" at the time, to a remote area in the desert where they threw her from the back seat of the car and then drove over her until she died.
  About 73,000 Filipinos -- 60,000 of them women working mostly as maids -- live in oil-rich Kuwait, where some 600,000 domestic helpers, mostly Asians, are employed.

  Source: AFP
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Watu wakatili duniani...
   
 3. N

  Newvision JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii inaonyesha ni kiasi hii race ya kiarabiu inavyodharau wengine. Mungu atawalaani na ddada zetu wanaisikia???
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na huyu alikuwa Mwaarabu? si bora huyi tunaona mahakama hiyo hiyo ya waarabu ikitoa hukumu stahiki, huyu vipi?

  Mtu mmoja aliyejulika kwa jina la Ritha Mrema (48) mkazi wa njiro amefariki dunia mara baada ya kupigwa risasi na mfanyakazi wake wa ndani katika paji la uso.

  https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/65005-mfanyakazi-wa-ndani-amuua-tajiri-yake.html
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  middle easterners are notorious for this
   
 6. M

  Mkabera JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nao
  Naona kwanza kisingizio cha Waarabu halafu dini. Huu ndio unafiki. Kwanza Kuwait ina wakazi wa nje asilimia 40% hivyo huyo aliyeua na yeye kuhukumia kifo yeye na mkewe inaonyesha hukumu ya haki ipasavyo!

  Chalenji yangu ya kidini ni hivi - Vita vya Vietman, Guatemala, vita kuu vya kwanza na vya pili, Iraq, Palestine nk ni watu wa dini gani waliokuwa walitupa mabomu yakiuuwa watu ovyo mamilion ya matetekea walo na hatia na wasio na hatia. Huko Japan miji mizima imeteketezwa kwa atomic bombs na watu wa dini gani

  Chalenji ya kijinisia/kitaifa ni hii- Usiende mbali tazama karibu tu huko Songea/Ruvuma watu wanauliwa ovyo, Albinos (wazeruzeru) wanakatwa miguu/mikono na kuuwawaa ovyo Tanzania kwa itikadi za kipunbavu. Huko kigoma na Mwanza wazee badala ya kuhifashiwa wanauwa ovyo eti ni wachawi- itikadi za kipumbavu. Majambazi ndio usiseme huna hata uhuru wa kutembea kwa raha yako au kulala kwa raha yako. Haya yoote yanafanywa na nani??
  Akihukumiwa kuuwawa mataifa mengine yaseme Waafrika ni wakatilli? Huko Burundi watu walichinjana kwa maelfu walikuwa ni asli gani?

  Kuhitimu Kama hilo kanisa unalokwenda limekupoteza basi usiwarudie tena tafuta ukweli uamue kwa akili maana una haki ya kutopoteshwa ujue ukweli. Kuhusu mataifa Kila jinsia ya watu inayo matatizo yake na ufinyu wa akili kushutumu taifa lolote kama vile wako waafrika wakatili sana na wako walio wazuri.
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Huwa nafuatilia sana mateso wanayopata house maids nchi za kiarabu, kuna habari za kutisha sana online, sisi watanzania ndio tunapoelekea huko kwa wafilipina maana wao walianza kama sisi miaka ya 85-90 serikali ikishiriki kuwadhulumu ardhi wanyonge na kuwapa the socalled wawekezaji uchwara kwa rushwa na mapaka kufikia 2000 wananchi wengi walibaki vibarua kwenye mashamba ya matajiri na hawana future tena imewabidi wakimbilie nje ya nchi yao kufanya kazi za ndani, na wengi wakijihusisha na vitendo vya ukahaba. May God rest ur soul in eternal peace. Amen.
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tayari kuna wapumb.vu wameshaingiza udini.. hivi anayefanya huu ushen.zi ni dini au mtu.? mnakera sana
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulitaka waliouwa waachiwe au vipi? sijakuelewa. Ikiwa mauaji tumeona Mtanzania akimuuwa nduguye huko US, yule hakuwa Muislaam wala Mwaarabu. Kuna kesi za mauaji kila siku, moja nimeiweka juu huko, kwa jina tu "Mrema" anaonesha huyo ni mwanamke wa Kichagga. Hiyo ni katika kukuonesha kuwa kutenda makosa hakuna dini wala ukabila, kizuri cha kutazamwa ni nchi ipi ina mengi kwa sheria na kanuni zake nchi ipi ina machache.

  Kwa Afrika hapa nadhani Afrika Kusini inaongoza kwa mauaji ya kikatili. Jee, huko nako ni Waislaam na Waarabu?
   
 10. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280

  Kama ulikuwa unawaza pamoja na mimi vile!
  Nachukia sana kitendo cha kuchepusha mada, kutoka kujadili home-based violence hadi kwenye udini. Kinachojadiliwa hapa ni kitendo cha ukatili cha hao raia wa Kuwait dhini ya mfanyakazi wao Mfilipino. Ukatili huu hata hapa Tanzania upo sana, gardeners na house maids huwa wananyanyaswa sana na wenye nyumba wanaowaajiri. Labda tungejikita hapo, kujua chanzo ni nini na ni namna gani tunaweza kutatua kadhia hii.
   
 11. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaelewa maana ya pre meditated murder? Sasa ukisoma hiyo story uliyoileta ya kijana kumpiga risasi huyo bosi wake murder inatokea wapi? Ama wadhani kila uhai unapotolewa lazima kuna murder?  Mtu mmoja aliyejulika kwa jina la Ritha Mrema (48) mkazi wa njiro amefariki dunia mara baada ya kupigwa risasi na mfanyakazi wake wa ndani katika paji la uso.

  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kamanda wa polisi wa mkoani hapa Basilio Matei wakati akiongea na waandishi wa habari alisema kuwa tukio hilo lilitokea June 17 majira ya usiku katika eneo la Njiro Block F ambapo ambapo mtuhumiwa Omary Ally (18) alimpiga risasi tajiri yake ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Njiro.

  Kamanda amesema kuwa wakati walipokuwa wakimuhoji mtuhumiwa alisema kuwa ilikuwa ni majira ya usiku katika nyumbani kwao walisikia kishindo cha wezi wakivunja ili kuaingia ndani, ndipo marehemu akaignia ndani na kuchukua bastola na kumpa mfanyakazi wake huyo wa ndani aitumie.

  Alisema kuwa mara baada ya kukabithiwa kijana huyo wakati alipokuwa ana jiandaa kwa ajili ya kukabiliana na wezi hao ndipo alipo jikuta amempiga tajiri yake .

  "kijana huyu alikuwa hajui kutumia silaha. Sasa mara baada ya kukabidhiwa na tajiri bastola hiyo wakati akiikoki badala ya kuwageuzia wale wezi alikosea na kumgeuzia tajiri yake na kumpiga katika paji la uso"alisema Kamanda Matei.

  Basilio alisema kuwa wakati tukio hilo likitokea mume wa marehemu alikuwa hayupo na ilisemekana kuwa alikuwa amesafiri kibiashara kwenda nje ya nchi na alimuachia mkewe silaha hiyo kwa ajili kujilinda. Alisema kumuachia mtu silaha unayomiliki kihalali ni kinyume cha sheria ya umiliki wa silaha kutokana na mwanamke huyo kutokuwa na ujuzi pamoja na leseni ya kutumia silaha hiyo.

  Aidha kamanda alisema mtuhumiwa mpaka sasa anashikiliwa na jeshi la polisi hadi hapo uchunguzi utakapo kamilika na kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kujibu shitaka, bila shaka la kuua bila kukusudia


  SOURCE: MICHUZI BLOGSPOT.
   
 12. P

  Percival JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280


  Na race ya kiafrika kuuwa albino ? Angalia mahamakama imehukumu vipi hapo juu. Ni niambie nani hapa kwetu kahukumiwa ipasavyo kwa kuuwa albino.
   
Loading...