Wapare wa Same tunadai dayosisi KKKT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapare wa Same tunadai dayosisi KKKT

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bangusule, Jan 2, 2009.

 1. b

  bangusule Senior Member

  #1
  Jan 2, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  NDIYO. Tumekuwa kimya muda mrefu tukiangalia chokochoko za Msuya na Kisumo. hawakuanza leo wala juzi wameanza tangu waonje madaraka serikalini. KKKT mmepeleka miradi yote Mwanga na kutuacha Same na makao makuu tu. shule za Shighatini,Usangi Girls,Mruma, Shule ya Viziwi, zote ziko Mwanga, na Same ambayo ina eneo kubwa imepewa shule moja tu ya Manka. Askofu Koda wa Katoliki naye analeta michezo ya kupendelea Mwanga ambapo amejenga shule za Kindoroko, na Kilomeni, wakati hakuna shule yoyote ile Same/South Pare.

  wananchi wa Same na Pare Kusini wako tayari tuchangia kwa nguvu zao ujenzi wa shule hizo. tatizo ni hawa viongozi toka Mwanga ambao wanafanya makusudi kuhodhi miradi na kupeleka kwao.

  MWALIMU NYERERE ALISEMA "WAPARE NDIYO WACHINA WA TANZANIA". aliposema hivyo alikuwa akipongeza juhudi za Wapare wa Same katika kazi za kujitolea MSARAGAMBO.KKKT tupeni Dayosisi yetu na Askofu wetu wana Same. Viongozi toka Mwanga wanatuhujumu na kutudumaza kimaendeleo.
   
 2. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Pipiiiiiiiiiiii!!!!. Na wananchi wa Ludewa nao watadai Meli, teh tehte tititiiiiiii. Chanzo cha yote ni kuletwa kwa Thread ya Msuya hapo juu.
   
 3. b

  bangusule Senior Member

  #3
  Jan 2, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sasa kama huku upareni msuya anatunyanyapaa kwanini huko mjina tuendelee kuhusishwa naye? lete ushahidi unaopingana na hayo niliyoyaeleza kuhusu msuya na kkkt.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Kazi imeanza sasa angalieni msitoanekafara tu.....wana pare mjiunge kwa faida ya vizazi vyenu vijavyo na taifa kwa ujumla acheni mimi wa same mimi mgweno haifai jamani mbona sisi huku mijini tukiwaona tunajua wote wa pare inatosha....acheni dhambi ya ubaguzi
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2016
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Nimekumbuka hii ya KKKT ni baada ya kuona picha ya Askofu Mkuu mteule wa
  dayosisi kuu ya mwanga Mh. Chediel Sendoro;

  Natamani kujua kama Same walishapewa dayosisi.
   
 6. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2016
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,704
  Likes Received: 5,206
  Trophy Points: 280
  Mhh! "Wapare ndiyo wachina wa Tanzania"
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2016
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mamndenyi dayosisi iliyokuwepo ni ya same ila na naamini mgogoro mkubwa hapa ulikuwa mwanga nayo ipewe dayosisi ambayo huyo Sendoro ndo kachaguliwa kuwa Askofu mpya wa Dayosisi ya Mwanga
   
 8. m

  marikiti JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2016
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,712
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  MARA NYINGI WATU WA MILIMANI WANAKUWA WAJANJA KULIKO WA TAMBARARE SIKU ZOTE MLIKUWA WAPI NDO MNAZINDUKA SASA
   
 9. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2016
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  KKKT haina umoja wa kweli labda umoja wa viongozi wa juu tu
   
 10. darcity

  darcity JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2016
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 4,823
  Trophy Points: 280
  Huyu Nyerere ana mzaha sana....duh!
   
 11. A

  Anold JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2016
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Sikatai kama unadai Dayosisi, lakini nafikiri jitahidi sana kudai Mungu aingie katika maisha yako, umpende na kumtafuta kwa bidii, Ukristo sio chokochoko au kutafuta vitu vinavyoonekana, bali kutafuta ufalme na mamlaka ambayo inatoka juu. Hakuna sababu yeyote kuwa na Dayosisi ambayo huwenda haina kibali mbele za Mungu, hakuna maana kama hao wanaodai Dayosisi ni chukizo kwa Mungu, hizi kazi za Mungu huratibiwa na kusimamishwa na Mungu mwenyewe, watu wengi kwa kujaribu kumsaidia Mungu wamejikuta wakiingia kwenye laana wao na vizazi vyao, Utukufu wa Mungu haupatikani kwa nguvu zetu au zako, bali kwa kuomba, kufunga na kujishusha machoni pa Bwana. Hizi chokochoko za kudai Dayosisi KKKT, huratibiwa na watu wasio mpenda Mungu wala kupenda wenzao, husukumwa na roho chafu, ubinafsi na kupenda madaraka. Watu badala ya kumtafuta Mungu kwa bidii wanatafuta Dayosisi kana kwamba hiyo ndiyo suluhu ya maisha yao. Nafikiri uongozi wa KKKT ukubali ushauri tunaotoa kila mara kuwa hizi chokochoko nyingi zinazojitokeza chanzo ni Katiba ya KKKT, hii katiba hebu ibadilike, KKKT iwe kitu kimoja, haya mambo ya Dayosisi yaangaliwe upya, mfumo huu ulifaa kwa wakati ule wa kujenga Kanisa kwa sasa mambo na watu ni tofauti. Mtoa hoja naona anahesabu huduma zilizoko mwanga heee! jamani Mungu atusaidie sana maana roho hizi ni zahatari sana, Hivi watu wa same wameanzisha shule KKKT ikakataa?
   
 12. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2016
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kwa mtazamo wangu ni ngumu KKKT kuwa one
   
 13. Miss Natafuta

  Miss Natafuta JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 17,367
  Likes Received: 28,347
  Trophy Points: 280
  hivi upareni kuna dini kweli?
  maana kuna mizimu ya hatare waganga wa kutosha
  mzee kilenga yupo dayosisi ipi jamani kwanza?
   
 14. Eli79

  Eli79 JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2016
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 18,767
  Likes Received: 10,614
  Trophy Points: 280
  Ukute hizo ni hadithi tu mtu alikupa. Nenda upareni achana na story za Kilenga.
   
 15. Patience123

  Patience123 JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2016
  Joined: Mar 10, 2013
  Messages: 4,731
  Likes Received: 7,728
  Trophy Points: 280
  Mtani, ja mithi..? Aiooh, ufumia mbare ihiyo uko vuathu? ronga nishighia kukuwijanyia bhana.
   
 16. Eli79

  Eli79 JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2016
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 18,767
  Likes Received: 10,614
  Trophy Points: 280
   
 17. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2016
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  Naona Chidiel anaenda huko,..Waliomchagua wanajua,sisi tuseme nini....Anyways. Mungu amuongoze akatende haki huko...Nafunga Mdomo wangu...
   
 18. Patience123

  Patience123 JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2016
  Joined: Mar 10, 2013
  Messages: 4,731
  Likes Received: 7,728
  Trophy Points: 280
  We muothi, haiki wedindika?
   
 19. MasterP.

  MasterP. JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2016
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 4,376
  Likes Received: 2,076
  Trophy Points: 280
  Sasa kama mtoa mada issue yake ni kudai dayosisi ya same na wakati dayosisi ya mwanga tayari imesharidhiwa kuanzishwa na tayari askofu wake keshachaguliwa na kilichobaki ni kuzinduliwa tu rasmi na kusimikwa kwa uongozi wa dayosisi, na dayosisi ya upare ilikuwa ni ya wilaya mbili tu same na mwanga.., tatizo liko wapi?? Mwanga si inaondoka na automatically mnabaki na dayosisi yenu ambayo ni eneo lote la same....?
   
 20. Eli79

  Eli79 JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2016
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 18,767
  Likes Received: 10,614
  Trophy Points: 280
  Thari udhe noko chumbani ninekuvwira. Aha nethidima..
   
Loading...