Sawa kabisa. Maendeleo ni kupiga hatua kwenda mbele. Wenzetu vyoo vya nje hawana. Sisi huku Afrika baadhi yetu bado tunatumia vyoo vya nje.View attachment 2021519
Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
Kuhusu Uzi huu, kwa kifupi unataka kutuambia nini mkuu Sky Eclat ?View attachment 2021519
Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
Sawa kabisa. Maendeleo ni kupiga hatua kwenda mbele. Wenzetu vyoo vya nje hawana. Sisi huku Afrika baadhi yetu bado tunatumia vyoo vya nje.
Inasikitisha sana. Afrika Bara langu, lini tutaushinda huu unyonge tulionao?africa ikipiga hatua moja mbele wenzetu washapiga hatua mia moja mbele….alafu africa inapiga hatua mbili nyuma wao wanapiga hatua mia moja tena mbele.
Mtoa mada unataka kusema akina sie tupo Miaka 200 nyuma au sio
Hawa wajukuu zao mbona wanatusumbua bure kwetu hapa?View attachment 2021519
Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.