Wapangaji wa chumba kimoja Ulaya zama za Viwanda zilipoanza

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
53,518
2,000
1637727394997.png

Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,287
2,000
Hapo ni baada ya kutu dhurumu Maisha bora tuliyo kuwa nayo! kutoka kwa Taifa letu, lenye nguvu kubwa Duniani! enzi hizo yaani ''Ancient Egypt'' hii ndo ilikuwa adhabu yao hao wazungu! tulifukuzwa tukachakazwa kwa vichapo vya kila aina!! na Alexander the Great!!

aka wachomeka nduguze ptolemy!! ambao nao walianza kula bata,kuoa weusi, wakazaa arabs wakasahau kuwasaidia ndg zao!! mpaka baadae sana! miaka km hii uko Ulaya!! sisi tunakula Bata Misri!

huku kusini mwa jangwa la sahara tulisukumwa tu na vita! na mpaka sasa tulianza moja lkn sisi ni vijogooo hasa!! angalia leo tulipo! na hata wao wako ivo ajili yetu sisi!
 

Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,274
2,000
Sawa kabisa. Maendeleo ni kupiga hatua kwenda mbele. Wenzetu vyoo vya nje hawana. Sisi huku Afrika baadhi yetu bado tunatumia vyoo vya nje.

africa ikipiga hatua moja mbele wenzetu washapiga hatua mia moja mbele….alafu africa inapiga hatua mbili nyuma wao wanapiga hatua mia moja tena mbele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom