Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,217
- 2,354
Nina case za watu, tena wengine walikuwa maadui wa Serikali na walikuwa ktk critical conditions, lakini haeakudharau taratibu za matibabu ya umma. Kuna Ulimboka aling'olewa kucha meno, aliminywa makende alipofikishwa Muhimbili madaktari wali declare apelekwe India. Kuna Kubenea hata hatukutegemea angekuwa na macho baada ya kumwagiwa Tindikali. Kuna Mvungi na Kibanda wote walikuwa hali mbaya, Ethic za Muhimbili, wakasema hawezi case zao wakapaishwa India. Kwanini uatusemi ukweli kwa hili la Lissu? Ambalo Chadema kwa vinywa vya viongozi wao hawakuiamini Serikali? Hivi pale Dodoma waliporuhusu naibu Waziri (Serikali) kushika mikasi kunusuru maisha ya Lissu huo woga wao ulikuwa wapi?