Wapambanaji watazamaji...

Utani upi huo na sexism yako?
Unaweza ukawa either a man or a woman! Nuttin in btn I dont believe on he/she's!
Unaweza pia kuwa Mama kwa someone elese na ukawa BIBI kwa someone else!
Ndio maisha!

Utani ninaousema hapa ni wa kuinunua JF. Huwezi na kama ukiweza basi haitawezekena.

Mimi ni mwanamke, if you decide to call me baba, meku, bibi au mama sijali kwani haitabadilisha uanamke wangu.
 
Say ada ya mwaka itatakiwa ilipwe kabla ya march kila mwaka.
$1.23 * member 1500 = 1845 kwa mwezi. Umoja ni nguvu.

Umesema vizuri, nakuunga mknono. Ni vema kufikiria kupata kidogo harafu kikubwa kitakuja kuliko kuanza kufikiria kikubwa wakati hakuna kidogo hakipo.
 
Roughly JF ina-run kwa kitu kama $500 monthly... Ondoa muda wa Mods na gharama zao za uendeshaji. Kwa siku za awali ilikuwa gharama ndogo kwani ilikuwa na traffic ndogo. Kwa sasa hali ishakuwa tofauti na mwanzo... Rekodi za mwezi uliopita ni hits 7,320,628.

Mengine ngumu kueleza kwa sasa. Ila fikiria upande wa pili, hata KLHN inahitaji kuungwa mkono ili ifanikishe shughuli zake. JF na KLHN ni vyombo vyenye wamiliki tofauti kabisa japo wanajuana.

Mungu atawazidishie nguvu na ujasiri, hapa niko tayari kupiga jeki kwa kutoa kiingirio.
 
Wandugu pamoja na nia njema na dhamira njema walioionyesha ndugu Mwanakijiji na invisible lakini kuna maswali kadhaa ningependa kuuliza:

1:Je wamiliki wa JF wana mpango wa kuifanya huduma hii ya kubadirishana mawazo hapa JF kuwa ya kibiashara?

2:je Matangazo ya kibiashara hapa katika JF hayatoshi kuiendesha JF?
3:Je wamiliki wa JF wana njia gani za kuhakikisha JF inaendelea kuwepo bila members kuchangia?

hofu yangu ni kwamba iwapo tutaifanya huduma hii ya JF kuwa ni ya lazima kulipia tunaweza kujikuta tunapoteza wanachama wengi
(wenye kipato na wasio na kipato), matokeo yake kujikuta tuna kakikundi ka watu wachache ndo wanaozunguusha mawazo yao kila siku.

kwa kuifanya JF kuwa ni ya lazima kulipia, basi ile sifa ya "where we dare talk openly" itapotea na badala yake itakuwa "where we dare talk openly we who have paid". hiyo itakuwa ni dhoruba moja kali sana kwa JF.

JF inabidi izidishe wanachama na wamiliki wake wawe wawazi zaidi kwamba wana malengo gani haswa.
kama wamiliki wa JF wataweza kuwaconvice wanachama wao kwamba hawana agenda ya kuwageuza member wao kuwa chombo cha kutengeneza pesa, mimi ninaamini wanachama tutachangia kwa moyo mmoja, japo kasi inaweza ikawa taratibu, taratibu lakini tutachangia,haya mashaka mashaka ndo unaweza kukuta yanapunguza kasi ya uchangiaji.

Ila kwa mimi ninavyoona, kuigeuza huduma hii ya JF kuwa ya kulipia, itakuwa ni bad idea. kwa sababu lengo la kuwajumuisha wananchi wengi kwenye mchakato wa mabadiriko nchini halitafikiwa
 
Kundi hili la katikati ndilo mara nyingi lina uwezo, nyenzo, na kila litanufaika zaidi na mabadiliko mazuri yatakayotokea kwenye jamii. Lakini, kwa kadiri linavyokaa pembeni kutazama na kushabikia; kwa kadiri linavyokaa kwenye mitandao na kuchangia hoja mbalimbali; kwa kadiri linavyokaa na kusoma makala na kufuatialia habari za kimataifa au siasa za nyumbani lakini likishindwa kuamua nani wa kumuunga mkono litaendelea kuwa butu na lisilo na athari zozote kwenye mabadiliko. Hili ni kundi ambalo naweza kusema ndiyo kiini cha mabadiliko.
Umegusa mkuu, nitam PM invisible, kuona ni utaratibu gani utakaofaa ili mradi tu huu uhuru wa kutoa mawazo na kusoma ya wengine usiniponyoke, av always wanted to changia something but i dont know how, although it might seem like a lame excuse bt that's that.
Sijui mwenzangu kama unaona urgency niionayo.
I feel u mkuu on this one, naiona naisikia.............
 
Utani ninaousema hapa ni wa kuinunua JF. Huwezi na kama ukiweza basi haitawezekena.

Mimi ni mwanamke, if you decide to call me baba, meku, bibi au mama sijali kwani haitabadilisha uanamke wangu.
Nani hana uwezo wa kununua Mama Nanihii!?
Wanaomiliki ndio wanaotakiwa waniambie!
Wabongo bana!
Huu si umoja wa watanzania ni mali binafsi!
Uana mke, umeku na yote hayo vimetokea wapi?
Mbona jina zito la "MAMA" Unali miss use?
 
Mwanakijiji nimekusoma,

Mie nadhani ni jambo la Msingi kuelezea nia yao kuhusu hilo,Cha msingi Tuandike Propasal kwa mashirika kama USAID na mashitika yanayotoa msaada kuelezea majukumu ya JF ni yapi na inasaidia vipi kuleta Utawala Bora katika Nchi yetu.

Nina uhakika hapa tutakuwa tumepata suluhisho mojawapo,sababu pesa itakayopatikana itaweza kulipia Hosting an hao Mods wote wanaofanya kazi hapa.Zaidi ya yote itakuwa ni njia mojawapo ya kuendeleza kumkoma Nyani Giladi sababu watu kama Mtanzania,FD watakuwa wakizunguka Vijijini kuwafumbua watanzania waliolala amabo wanawashabikia Mafisadi.
 
mi naunga mkono hoja ya member mmoja yeye amesema kama JF itaamua kutoa flana, kofia au hata magazeti ni wazi kuwa pesa inaweza kupatikana bila hata ya kufanya PPV. but endapo utawala utaamua kufanya malipo ya uanachama nionavyo humu watabakia baadhi tu ya watu kisha yale yanayosemwa na kuchangiwa humu yatakuwa hayawafikii raia ambao kwa namna moja ni walengwa pia wa mijadala mbalimbali.
 
Exactly what i've proposed!
 
Gamba la Nyoka, kuna ubaya gani kwa watu wanaoendesha JF kupata chakula chao na maisha yao kwa kufanya kile wakipendacho? Hata wachungaji na mashehe hulipwa kutokana na huduma ambazo kimsingi zingekuwa za bure...

Sasa "Invisible" atumie muda wake, vipaji vyake, umeme wake, nyumba yake, n.k kuendeshea JF halafu ikija kula asile? Hii ni hofu isiyo na msingi, ng'ombe apurapo nafaka hafungwi kinywa... na kila mtumishi anahitaji ujira wake. Au ulikuwa unashauri wafanye kila kitu bure halafu wapate wapi fedha za kula, kulipa bili, na matumizi yao?
 
hizo fulana, kofia, na magazeti yataanzishwa kwa fedha zipi na za nani?
 
hizo fulana, kofia, na magazeti yataanzishwa kwa fedha zipi na za nani?

heshima yako mkongwe...
si lazima tuanzishe hivyo vyote kwa mpigo, hata roma haikujengwa kwa siku moja, tunaweza kuanza na flana kisha tukaja kofia, na mambo mengine yakaendelea.
so kama huo mtaji hakuna je naweza kuwekeza katika hili kisha baada ya miaka 10 ndo nianze kulipa kodi?
 
hizo fulana, kofia, na magazeti yataanzishwa kwa fedha zipi na za nani?
hilo ndilo suala ambalo watu wanalikimbia,ila Mwanakijiji toa pendekezo mojawapo baada y kuona michango ambayo imetolewa na wanachama wa JF,Mie nitakuja na wazo langu baadaye.ila sula amblo nimelitoa mwanzoni kuhusu kuandika proposal nadhani linaweza likawa ni jema na nina uhakika hata EU commision wataku wako tayari kuongea.
 
Gamba la Nyoka, kuna ubaya gani kwa watu wanaoendesha JF kupata chakula chao na maisha yao kwa kufanya kile wakipendacho? Hata wachungaji na mashehe hulipwa kutokana na huduma ambazo kimsingi zingekuwa za bure...

Sasa "Invisible" atumie muda wake, vipaji vyake, umeme wake, nyumba yake, n.k kuendeshea JF halafu ikija kula asile? Hii ni hofu isiyo na msingi, ng'ombe apurapo nafaka hafungwi kinywa... na kila mtumishi anahitaji ujira wake. Au ulikuwa unashauri wafanye kila kitu bure halafu wapate wapi fedha za kula, kulipa bili, na matumizi yao?
INVISIBLE NA WENZAKE WAPEWE CHAKULA NA MAFAO YA KUTOSHA ILI WASIJE WAKAIPOTEZA NAFASI YA KUINGIA KWENYE HISTORIA YA NCHI HII!
TRUST ME KWENYE SYLLABUS YA HISTORIA KUTAKUWA NA "THE JF EFFECT" OR "THE KLH EFFECT" Mithili ya PROGRESSIVE ERA kwenye historia ya US! wakati wa "YELLOW JOURNALISM!"
ESPECIALLY TUTAKAPOKUWA TUKIZUNGUMZIA SAKATA HILI LA UFISADI IN OUR HISTORY!
JF WILL DEFINETLY GO DOWN ON THE BOOKS OF HISTORY!
 
Wabongo bwana, maneno mengi hivi mbona the ishu hapa iko very clear kuwa ni kutoa mchango wa kuiendesha JF na KLH,

Mimi nilifikiri jawabu litakuwa either nitatoa au sitatoa, au kunyamaza kimyaa au?
 
Wabongo bwana, maneno mengi hivi mbona the ishu hapa iko very clear kuwa ni kutoa mchango wa kuiendesha JF na KLH,

Mimi nilifikiri jawabu litakuwa either nitatoa au sitatoa, au kunyamaza kimyaa au?

Halafu MKJJ kama wewe ndio yule JOHN MASHAKA then you should lead us over this!
Tunakuaminia kwa uwezo wako wa investment ideas!
NB:
Mkuu Field Marshall ES... Bila maneno mengi JF isingekuwepo!
Almuradi ni mawazo positive!
Haupendi maswali?
Ama you just like shorcuts?
 
Wabongo bwana, maneno mengi hivi mbona the ishu hapa iko very clear kuwa ni kutoa mchango wa kuiendesha JF na KLH,

Mimi nilifikiri jawabu litakuwa either nitatoa au sitatoa, au kunyamaza kimyaa au?
Mzee FMES,
that is the point but how do you see thepoint of writting Proposal to donars to donate on this??it can also help us to extend JF to be a radio station which broadcast the truth in the great lake zones.

Mie nina uhakika tunaweza pata pesa ya kutosha ili tuweze kuwaelimisha watanzania wengine ambao bado wamefumbwa,ambao hawana uwezo wa kusoma vitu kwenye internet,Radio ni jambao zuri kwasabu litawafikia wengi.

hata kama ikiwa inatangazia toka marekani na watu wanapata habari itakuwa jambo la Msingi,niliwahi kufanya utafiti wa kutosha na kugundua watanzania wengi vijijini wanasikiliza BBC idhaa ya kiswahili na waliifahmu JF baada ya BBC kuanza kuizungumzia,kipindi kile kina Mike na Max walipokamatwa.Baba yangu aliyeko kijijini aliwahi kuniuliza katika maongezi yangu na yeye katika simu Jamboforums ni kituo gani??na anatamani kukijua ..nikamwahidi siku nikienda kijijini nitamuonesha,na ana hamu kuona kitu kilichozungumziwa na BBC
 
1.
Halafu MKJJ kama wewe ndio yule JOHN MASHAKA then you should lead us over this! Tunakuaminia kwa uwezo wako wa investment ideas!

Mkuu ninaomba nirudie kwenye hili kuwa Mwanakijiji sio John Mashaka, ninaongea nao wote wawili kwa simu kwa wakati mbali mbali, John yuko Wachovia Bank North Carolina ana kazi inayomfanya asafiri all the time between US na Europe, hata muda wa kuingia kwenye internent huwa hana, kwa hiyo tafadhali rekebisha hilo Mwanakijiji sio Mashaka,

2.
NB:
Mkuu bila maneno mengi JF isingekuwepo!
Almuradi ni mawazo positive!
Haupendi maswali?
Ama you just like shorcuts?

Kuna ishu zinazohitaji maneno mengi na kuna ishu ambazo ni black and white, hazihitaji maneno mengi,

kwa mfano fulana za JF ziwe rangi gani yes hapo panahitaji maneno mengi sana, lakini mchango wa kuiweka JF hapa na KLH, kweli kunahitajika maneno mengi? No ni kutoa au kutotoa na ikibidi kunyamaza kimyaaa na kuendelea kupiga keyboards, au!
 
Gamba la Nyoka, kuna ubaya gani kwa watu wanaoendesha JF kupata chakula chao na maisha yao kwa kufanya kile wakipendacho? Hata wachungaji na mashehe hulipwa kutokana na huduma ambazo kimsingi zingekuwa za bure...

Sasa "Invisible" atumie muda wake, vipaji vyake, umeme wake, nyumba yake, n.k kuendeshea JF halafu ikija kula asile? Hii ni hofu isiyo na msingi, ng'ombe apurapo nafaka hafungwi kinywa... na kila mtumishi anahitaji ujira wake. Au ulikuwa unashauri wafanye kila kitu bure halafu wapate wapi fedha za kula, kulipa bili, na matumizi yao?

Nakuelewa mkuu:
Sipingi mkuu, ila ninachokitaka ni uwazi, mkitufahamisha vizuri kwamba miongoni mwa lengo ulilolisema ni chakula, hilo halina neno, lakini tuambiwe kabisa ili tuweze kujua kiasi cha chakula ni shilingi ngapi na kiasi gani kwa ajili ya kuendesha gurudumu la JF, ili kwa kutumia malezo hayo tuweze kutumia haki yetu ya msingi kufanya maamuzi.

Je wamiliki wa JF walipokuwa wanaanzisha JF waliwahi kuweka lengo kwamba itakapofika wakati fulani waanze kudai chakula?

je kikipatikana kiasi cha undeshaji wa JF lakini kiasi cha Chakula kisiwepo, au kipatikane lakini kiwe ni kidogo bado Tutatakiwa kuchanga mpaka kiasi kinachotakiwa cha chakula kifike?.

Mkuu ninauliza maswali haya huku nikitambua mchango makini wa waendeshaji wa JF na huku niithamini JF, mimi binafsi sipingi kuchangia JF, bali ninapinga kulipia JF katika mtindo wa lazima.
 
Back
Top Bottom