Wapambanaji watazamaji...

Ndugu mwanakijiji

nashukuru sana kwa maelezo yako. This is from experience, ukibase sana katika michango ndio mwanzo wa ngome kuvurugika. Utakubalije kupokea mchango from everyone, hapo ndipo utapopokea hata pesa za mafisadi na mwisho wa siku utajikuta uko kwenye chain au web ya ufisadi, it will be a shame. Thats why am skeptical about this kind of fundraising. Long term effects hazitakuwa kwa wachangaji bali kwa reputation ya JF as a whole.

Kujitegemea ndio njia pekee. Kufunga JF si suluhisho, na nadhani kazi ya JF sio kuibua kashfa tu ni kuelimisha pia. I can speak of myself how much I have learnt from JF, thanks to JF members. I was supposed to pay even a subscription fee!

fedha za mafisadi zina thamani ile ile na za waadilifu. Makanisa yanapokea sadaka kila Jumapili toka kwa wazinifu na wezi, makahaba na watakatifu. As long as mafisadi hao hawaji pembeni na kumuambia mchungaji asihubiri sana kuhusu zinaa!

Michango ndio njia ya kawaida ya kuendesha shughuli binafsi au taasisi binafsi. Red Cross wanachangiwa, na vyombo vingine vinaendeshwa kwa michango. Mtu akitaka kuchangia dola 5000 kwa JF hakuna atakayemuuliza kama yeye ni fisadi tayari, au la. Lakini akisema anataka kuinunua JF basi hapo tutakaa chini na kuhoji.

Kujitegemea ni pamoja na kutegemea michango isiyo na masharti kutoka kwa wanachama wake. Kama wanachama hawaoni umuhimu wa kuchangia kwa ukarimu wao basi njia rahisi ya kujitegemea ni kuweka subscription fee, badala ya kufanya kila kitu kiwe dezo. Of course, ukianzisha kitu cha bure na mwingine akaja na cha fedha watu wanalinganisha ubora wa kitu hicho.

Kile chenye thamani watu hawataona ugumu kukigharimia hata vipo vingi vya bure.
 
lets say JF needs $1,500 per months: you need $18,000 per year divide by 5000 JF members is $4 per year! say this is the subscription fee.
Lakini tangu JF inaanza nimepokea kiasi cha Tshs 885,000/- (Foreign exchanges incl) toka kwa wanachama & wapenzi wa JF (na JF imeanza rasmi mwaka 2006 mwezi Agosti).

Kwa mahesabu yako Mama ni wazi tu lakini ngumu kuitimiliza.
 
una assumption watu 5000 wako tayari kulipa dola 4 kuenjoy JF. Let me tell u this.. hautapa hata watu 100! sorry to say that..
 
Lakini tangu JF inaanza nimepokea kiasi cha Tshs 885,000/- (Foreign exchanges incl) toka kwa wanachama & wapenzi wa JF (na JF imeanza rasmi mwaka 2006 mwezi Agosti).

Kwa mahesabu yako Mama ni wazi tu lakini ngumu kuitimiliza.

invisible kiasi hicho kwa miaka yote hii kimetolewa na idadi ya watu wangapi. Ondoa wasio wanachama.
 
Lakini tangu JF inaanza nimepokea kiasi cha Tshs 885,000/- (Foreign exchanges incl) toka kwa wanachama & wapenzi wa JF (na JF imeanza rasmi mwaka 2006 mwezi Agosti).

Kwa mahesabu yako Mama ni wazi tu lakini ngumu kuitimiliza.

I know, lets hope for the best while making efforts to stand by our own feet
 
fedha za mafisadi zina thamani ile ile na za waadilifu. Makanisa yanapokea sadaka kila Jumapili toka kwa wazinifu na wezi, makahaba na watakatifu. As long as mafisadi hao hawaji pembeni na kumuambia mchungaji asihubiri sana kuhusu zinaa!

Michango ndio njia ya kawaida ya kuendesha shughuli binafsi au taasisi binafsi. Red Cross wanachangiwa, na vyombo vingine vinaendeshwa kwa michango. Mtu akitaka kuchangia dola 5000 kwa JF hakuna atakayemuuliza kama yeye ni fisadi tayari, au la. Lakini akisema anataka kuinunua JF basi hapo tutakaa chini na kuhoji.

Kujitegemea ni pamoja na kutegemea michango isiyo na masharti kutoka kwa wanachama wake. Kama wanachama hawaoni umuhimu wa kuchangia kwa ukarimu wao basi njia rahisi ya kujitegemea ni kuweka subscription fee, badala ya kufanya kila kitu kiwe dezo. Of course, ukianzisha kitu cha bure na mwingine akaja na cha fedha watu wanalinganisha ubora wa kitu hicho.

Kile chenye thamani watu hawataona ugumu kukigharimia hata vipo vingi vya bure.
Subscription siyo mbaya almuradi uhuru ubaki na pia rights ziwekwe bayana kabla thread nyingine hazijapelekwa kwenye vibweka hence wasiwasi!
Hili litasaidia kuweza kuelewa kama kweli JF bado ni huru ili tusijikute tukipoteza vijisenti vyetu vya viwango vya chini kwa kupambana na wale wa viwango vya juu bila kujielewa! Kwani hapo maumivu yatakuwa yetu!
 
tatizo la hiyo subscription ni kuwapa say ya namna fulani wale members? yaani memba aliyelipia anaweza kutoa amri ya mada ipelekwe wapi? au anachangia kwa sababu anaamini katika mission nzima ya JF hata kama mada zake zinafutwa?
 
fedha za mafisadi zina thamani ile ile na za waadilifu. Makanisa yanapokea sadaka kila Jumapili toka kwa wazinifu na wezi, makahaba na watakatifu. As long as mafisadi hao hawaji pembeni na kumuambia mchungaji asihubiri sana kuhusu zinaa!

Michango ndio njia ya kawaida ya kuendesha shughuli binafsi au taasisi binafsi. Red Cross wanachangiwa, na vyombo vingine vinaendeshwa kwa michango. Mtu akitaka kuchangia dola 5000 kwa JF hakuna atakayemuuliza kama yeye ni fisadi tayari, au la. Lakini akisema anataka kuinunua JF basi hapo tutakaa chini na kuhoji.

Kujitegemea ni pamoja na kutegemea michango isiyo na masharti kutoka kwa wanachama wake. Kama wanachama hawaoni umuhimu wa kuchangia kwa ukarimu wao basi njia rahisi ya kujitegemea ni kuweka subscription fee, badala ya kufanya kila kitu kiwe dezo. Of course, ukianzisha kitu cha bure na mwingine akaja na cha fedha watu wanalinganisha ubora wa kitu hicho.

Kile chenye thamani watu hawataona ugumu kukigharimia hata vipo vingi vya bure.

Dont take things for granted, ni kitu kidogo sana hicho lakini historia itakuja kuhukumu kama inavyowahukumu kina kikwete sasa kwa kampeni zao kufadhiliwa na pesa walizopata BOT.
 
Hili swala tuliongelea wakati fulani nafikiri kuwekwe kiwango cha USD 5.00 as minimum kwa members kuchangia kila mwezi. Yaani ukishafikisha post zaidi ya 100 basi uwe unalipa dola 5.00 kwa mwezi ambazo zitakuwa $ 60.00 kwa mwaka na hii sio lazima lakini iwe criteria kutenganisha waliokuwa up to date na malipo ya dola tano kila tarehe 5 ya kila mwezi. Kwa mfano rangi ya kijani kumaanisha member yuko up to date na dola tano kwa mwezi; Dark blue amechelewa mwezi moja na light black hajalipa kitu chochote.

Vile vile kuwe na sehemu ambayo wale walio up to date na dola 5 wataingia na kuona jinsi pesa inavyotumika na imekusanywa kiasi gani.

Naomba kuwasilisha kwani kwa kiwango kidogo kama hiki tunaweza kupiga hatua kuliko kuweka kiwango ambacho wengi tutaona kama ni wachache tu wanaoweza na iwe kwa hiari.

Shukran za dhati kwa wote ambao wameiwezesha JF kwa namna moja au nyingine kwenye kuiendesha.
 
tatizo la hiyo subscription ni kuwapa say ya namna fulani wale members? yaani memba aliyelipia anaweza kutoa amri ya mada ipelekwe wapi? au anachangia kwa sababu anaamini katika mission nzima ya JF hata kama mada zake zinafutwa?

kama unaona kuwa mtu akitoa subscription fee ya $5 atakuwa na say, what about yule atakayetoa mchango wa $5000
 
Hili swala tuliongelea wakati fulani nafikiri kuwekwe kiwango cha USD 5.00 as minimum kwa members kuchangia kila mwezi. Yaani ukishafikisha post zaidi ya 100 basi uwe unalipa dola 5.00 kwa mwezi ambazo zitakuwa $ 60.00 kwa mwaka na hii sio lazima lakini iwe criteria kutenganisha waliokuwa up to date na malipo ya dola tano kila tarehe 5 ya kila mwezi. Kwa mfano rangi ya kijani kumaanisha member yuko up to date na dola tano kwa mwezi; Dark blue amechelewa mwezi moja na light black hajalipa kitu chochote.

Vile vile kuwe na sehemu ambayo wale walio up to date na dola 5 wataingia na kuona jinsi pesa inavyotumika na imekusanywa kiasi gani.

Naomba kuwasilisha kwani kwa kiwango kidogo kama hiki tunaweza kupiga hatua kuliko kuweka kiwango ambacho wengi tutaona kama ni wachache tu wanaoweza na iwe kwa hiari.

Shukran za dhati kwa wote ambao wameiwezesha JF kwa namna moja au nyingine kwenye kuiendesha.

Ama unaweka limitations kwa wale ambao hawako subscribed to the extent that they have to be subscribed in order to enjoy uhondo!
Waweze kwenda kwenye vibweka lakini wasije Jukwaa la siasa ama la uchumi ama la kimapenzi?
Tatizo ni maana halisi ya jambo forums kupotea!
Ule uhuru na uniqueness iliyoifanya jf kuwa jf leo hii hala hala isipotee!
Wale munao i own jf naomba pia tuwasiliane!
 
Hasa wanaokubali kujisajili, kutoa mawazo yao na kukubali kuwa challenged na kutimiza dhamira haswa ya kutoa uhuru wa kujieleza.

Vidole na viendelee kutembea kwenye vidonyeo vyenu...
 
Ama unaweka limitations kwa wale ambao hawako subscribed to the extent that they have to be subscribed in order to enjoy uhondo!
Waweze kwenda kwenye vibweka lakini wasije Jukwaa la siasa ama la uchumi ama la kimapenzi?
Tatizo ni maana halisi ya jambo forums kupotea!
Ule uhuru na uniqueness iliyoifanya jf kuwa jf leo hii hala hala isipotee!
Wale munao i own jf naomba pia tuwasiliane!

Usisahau sasa hivi kuna wale ambao wamelipia huu uhondo wa kuandika hapa na hawana priviledge zozote. BTW kutoa ni moyo sio utajiri hata kama uko up to date huwezi kuwa zaidi ya JF member yoyote lakini unakuwa na rangi tofauti kwenye jina kuonyesha kwamba uko up to date na mchango wa kusaidia JF ili tuweze kuendelea na uhuru huu wa kuandika.
 
Hili swala tuliongelea wakati fulani nafikiri kuwekwe kiwango cha USD 5.00 as minimum kwa members kuchangia kila mwezi. Yaani ukishafikisha post zaidi ya 100 basi uwe unalipa dola 5.00 kwa mwezi ambazo zitakuwa $ 60.00 kwa mwaka na hii sio lazima lakini iwe criteria kutenganisha waliokuwa up to date na malipo ya dola tano kila tarehe 5 ya kila mwezi. Kwa mfano rangi ya kijani kumaanisha member yuko up to date na dola tano kwa mwezi; Dark blue amechelewa mwezi moja na light black hajalipa kitu chochote.

Vile vile kuwe na sehemu ambayo wale walio up to date na dola 5 wataingia na kuona jinsi pesa inavyotumika na imekusanywa kiasi gani.

Naomba kuwasilisha kwani kwa kiwango kidogo kama hiki tunaweza kupiga hatua kuliko kuweka kiwango ambacho wengi tutaona kama ni wachache tu wanaoweza na iwe kwa hiari.

Shukran za dhati kwa wote ambao wameiwezesha JF kwa namna moja au nyingine kwenye kuiendesha.

Ndugu Dua nakuunga mkono kwa hilo swala la michango ya mwezi. Kwa approximation za invisible let say JF inaendeshwa kwa $1500 kwa mwezi, kwa mwaka ni $18000, say member 1500 ndio wanaweza kulipia hapa, so itabidi kila moja alipe kiasi cha $12 kwa mwaka!
 
Usisahau sasa hivi kuna wale ambao wamelipia huu uhondo wa kuandika hapa na hawana priviledge zozote. BTW kutoa ni moyo sio utajiri hata kama uko up to date huwezi kuwa zaidi ya JF member yoyote lakini unakuwa na rangi tofauti kwenye jina kuomyesha kwamba uko up to date na mchango wa kusaidia JF ili tuweze kuendelea na uhuru huu wa kuandika.
Naelewa haya mkuu na ndio maana tuko hapa!

Tumeshaweka ama imeshawekwa wazi kuwa jf inapandiwa dau kutokana na kuwa ni moto!

Pia vile vile tunajaribu kuangalia kama tunaweza kutoa ushauri ili iweze kuendeshwa kisasa na iweze kujitegemea!

Nakubaliana na uhitaji wa fedha pamoja na wale wote wanaochangia!
Kutoa ni moyo na wala si utajiri ama ufisadi!

Tuendelee kuangalia ni kwa namna gani tutaendelea kukutana hapa jf!
Owners mnaweza kuingia ubia!

Cha muhimu ni vichwa vikae chini na kuandaa makubaliano ya kisheria ambapo mtaanguka masaini!

Makubaliano ambayo hayata iathiri JF ki utendaji na kimalengo!
Kwenye mikataba yote hiyo ya ubia..Uhuru wa JF uwe preserved!
This is ver very important!

Nyie wenyewe mnaelewa jinsi hali ilivyo tata hapa!
 
Naomba nirudi kwenye dhana nzima ya hoja hii. Lengo ni kutoa nafasi kwa watu siyo kuingia JF na kusoma au kuchangia tu lakini KUSHIRIKI katika kuleta mabadiliko mazuri kwa nchi yao.

Binafsi napenda zaidi michango ya hiari kuliko subscription. Michango ya hiari inamfanya mtu asifungwe na huduma ya kila mwezi au kuchangia kila mwezi lakini anakuwa huru kuchangia zaidi ya mara moja kwa mwezi na kiwango chochote. Lakini hii ya kuwa na ada ya kila mwezi itafungua matatizo mengi unless mambo kadhaa yawekwe wazi mapema kabisa kuwa subscription siyo shareholding bali ni kulipia huduma unayoipata. Hivyo subscription inakuwa ni gharama ya huduma na siyo kuchangia JF. Na hapa ina maana yule anayechangia anatarajia kufaidika moja kwa moja. Vipi kwa mtu ambaye anakubaliana na dhana ya JF lakini si mshiriki? Huyu of course anataka kuchangia kwa sababu watu wengine wanafaidika na JF.

Kwa hiyo tupime vizuri michango ya hiari na ada ya kila mwezi.
 
Tunachoweza kufanya ni kuongeza privelege kwa member anayechangia kiasi fulani. Mtu anayechangia dola 12 na anayechangia dola 300 kwanini wawe treated sawasawa katika ulimwengu huu wa kibepari?

Kwa hiyo kuna haja ya kuangalia vizuri sana suala la subscription na ada. Unless tunaweka ni kwa wote na hakuna anayeweza kuingia kama siyo memba wa kulipia. ambalo lina maana idadi ya wanachama itapungua dramatically.
 
Naomba nirudi kwenye dhana nzima ya hoja hii. Lengo ni kutoa nafasi kwa watu siyo kuingia JF na kusoma au kuchangia tu lakini KUSHIRIKI katika kuleta mabadiliko mazuri kwa nchi yao.

Binafsi napenda zaidi michango ya hiari kuliko subscription. Michango ya hiari inamfanya mtu asifungwe na huduma ya kila mwezi au kuchangia kila mwezi lakini anakuwa huru kuchangia zaidi ya mara moja kwa mwezi na kiwango chochote. Lakini hii ya kuwa na ada ya kila mwezi itafungua matatizo mengi unless mambo kadhaa yawekwe wazi mapema kabisa kuwa subscription siyo shareholding bali ni kulipia huduma unayoipata. Hivyo subscription inakuwa ni gharama ya huduma na siyo kuchangia JF. Na hapa ina maana yule anayechangia anatarajia kufaidika moja kwa moja. Vipi kwa mtu ambaye anakubaliana na dhana ya JF lakini si mshiriki? Huyu of course anataka kuchangia kwa sababu watu wengine wanafaidika na JF.

Kwa hiyo tupime vizuri michango ya hiari na ada ya kila mwezi.

Naheshimu mawazo yako, lakini kumbuka penye wengi pia unapata mawazo tofauti na yako yanaweza kukujenga zaidi. Hiyo michango binafsi utaipata tu lakini kama kutakuwa na fee haimaanishi eti wale waliolipia tu ndio waingie humu, wanaotaka kulipia hiyo subscription fee watakuwa na hiari, na hiyo lets fix it to may be $15 per year ni minimum, mwenye uwezo anaweza kutoa zaidi.

Kwa JF lets try that way, na mwenye kujisikia kuchanga atachanga (bear in mind RA na wafanyabiashara wengine ndani ya CCM, wamekumbatiwa sana na sababu ni kulipa fadhila ya ufadhili wao kwa chama. Bure aghali)
 
Back
Top Bottom