Wapalestina Walimsaidia Amini wakati wa Vita ya Tanzania na Uganda!

Sijajua unataka nini hasa! nadhani unajua taifa linaloitwa israel halikwepo mashariki ya kati kabla ya 1948! Kama ww si mtumwa wa wazungu basi utakubali kwamba hakuna tofauti kati ya apatheid of south afric and ziosim of israel.

HEBU NIPE MAJIBU YA HAYA MASWALI

1. BIBLIA NA KORAN vinatambua uwepo wa taifa la Israel, ni vitabu vya uwongo?

2. Kama Wayahudi si nchi yao hiyo, yao ni ipi?

3. Taifa huwa na utamaduni wake, wayahudi wana dini na utamaduni wao. Ni upi utamaduni wa wapalestina tofauti na waarabu?

4. Kama kiutamaduni wapalestina ni waarabu kwa nini wasihamishiwe nchi za kiarabu zenye eneo zaidi ya mara 650 ya Israel?
 
Back
Top Bottom