Wapalestina Walimsaidia Amini wakati wa Vita ya Tanzania na Uganda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapalestina Walimsaidia Amini wakati wa Vita ya Tanzania na Uganda!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kinyungu, Aug 17, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Japo jambo hili bado halijawekwa wazi na wanazuoni wa Tanzania ukweli ni kwamba wakati wa vita ya Tanzania na Uganda siyo Gadaffi wa Libya peke yake alimsaidia Idd Amin bali pia Wapalestina walimsaidia Idd Amini dhidi ya Tanzania.

  Je kuna faida gani sisi Watanzania kuwasapoti Wapalestina kwenye mapambano yao na Wayahudi?

  Wikipedia wamegusia kidogo kazi ni kwetu Watz kutafuta ukweli huu na kuuweka hadharani.

  Uganda
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kinyungu.

  Ndiyo maana mpaka leo sijawahi kumwonea huruma Muammar al Gaddaf wacha apate kichapo na ikiwezekana wamfanyie ule mchezo waliomfanyia Saadam Hussein.Gaddaf aliingia kichwa kichwa Idd Amin alimdanganya Uganda ni taifa la kiIslam limevamiwa na Tanzania taifa la kikristo mwisho wa siku Gaddaf akabaki na aibu ya kushindwa na kudhalilishwa kwa askari wake wachovu.
   
 3. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kinyungu tupe ushahidi wa Wapalestina kumsaidia Idd Amin ili tufaidike
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Usilipize baya kwa baya ni vema kulipiza kwa jema ili roo iwasute wenyewe
   
 5. doup

  doup JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Haya Mambo ndiyo yanayoturudisha nyuma Wadanganyika, Jino kwa Jino ndio mahali pake, ili nidhamu iwepo
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Library of Congress pamoja na hiyo link miliyotoa hapo juu vyote vinaonesha Wapalestina wa PLO walitoa wapiganaji zaidi ya 200 kumsaidia Idd Amin. PLO ni wanafiki sana afadhali hata ya HAMAS.

  Wapalestina siyo watu wazuri hawana nchi na walijiingiza kwenye uomvi usio wahusu je wakipatra hiyo nchi? Itakuwaje?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Badala ya kufikiria jinsi ya kuwaadabisha mafisadi wanaowalaza na giza mnahangaika na historia ambayo haiwezi kurekebishika.

  Kama walisaidia kipindi hicho lazima walikua na sababu zao na huenda zilikua nzuri tu kwahiyo kama Tanzania nayo itaona ina sababu nzuri ya kutowasapoti basi wasifanye hivyo.
   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama hiyo habari ni kweli, basi wacha waisrael wawape kibano
   
 9. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  PLO wanafanya maamuzi yao kutokana na maslahi yao. Idd Amini alikuwa anawasapoti zaidi, hadharani. Wapelestinian wengi walikuwa wanaishi pale Uganda, walikuwa wanajidefend wao wenyewe ktk vita na TZ.
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kama walitudhoofisha kwa kumsapoti iddi amin, malipo yao yako hapa hapa duniani..ISRAEL INAWANYOOSHA kama vipi waje tena
   
 11. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wapalestina walimsaidia Iddi Amin katika vita Uganda na Tanzania. Lakini wapalestina hawakufanya hivyo kwa kuwa waliichukia Tanzania ila ni kwa sababu Iddi Amin aliwaunga mkono kwa hiyo walikuwa wanamrudishia fadhila kwa kumuunga mkono katika vita. Wapalestina walikuwa taifa lililotelekezwa kwa hiyo taifa lolote lililowaunga mkono na kuwasaidia kwenye mapambano yao dhidi ya Israel walikuwa tayari kulisaidia kwa jambo lolote. Kama Tanzania ingefanya kile ilichofanya Uganda kwa wapalestina basi wangesaidia Tanzania katika vita dhidi yamajeshi ya Idd Amin. Na ndio maana Mwl Julius Nyerere hakuwahi kuwachukia wapalestina kwa kitendo cha kupigana sambamba na jeshi la Uganda dhidi yetu.
   
 12. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Basi na wao wapalestina waendelee kupata kichapo toka kwa waisrael kwa sababu huko nyuma Israel iliisaidia Tanzania kwa misaada mingi.
   
 13. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Viva Israel Kung'uta hao kwa sana tu.Ina maana mtu akikusaidia ktk njaa akikuita umsaidie kuua mtu asiye na hatia utaenda na hutakuwa na kosa? Acha ujinga walifanya walichokijua baada ya Idd Amin kuwadanganya kuwai amevamiwa na Makafiri (Tanzani) wakati uganda ni Taifa la kiislam.
   
 14. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2014
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Napita tu hapa....2011
   
 15. kajirita

  kajirita JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2014
  Joined: Jul 27, 2013
  Messages: 1,580
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  C.c Bernard Membe!!
   
 16. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2014
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mimi ni kama wewe!


  Sent from my iPhone using JamiiForums
   
 17. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2014
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  2011....
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2014
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wapalestina ni sawa na mtoto mchokozi anaetegemea nguvu za wazazi au wakubwa zake. Sifurahii watu wasio na hatia kupata madhara (kuuliwa au kujeruhiwa), lakini pia siamini kuwa Waisraeli wanawaua watu tu bila kulazimika. Hata ingekuwa ni wewe, mtu anakurushia mawe halafu anajificha nyuma ya watoto wake ungefanyaje? Umuache tu huyo mtu aendelee kukupiga kwa mawe wewe na watoto wako kwa kuwa tu ukimrudishia watoto wake wasio na hatia wataumia????
   
 19. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2014
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  hahahahah kumbe 2011?
   
 20. lidocaine

  lidocaine JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2014
  Joined: Jun 16, 2014
  Messages: 675
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Hahaaahaha umenena.wapigweeee
   
Loading...