Waooo! 'Instruction' imeshatoka na bilioni 10 imeshatua TBA. What a life style!

Anayehusika na kutunga sheria za manunuzi sio bunge?
Hii bajeti ilipitishwa na bunge au!
 
Naona 10% Zimekufa Kibudu!
Kama 10% zilikuwepo unadhani ni nani aliyekuwa akipokea hizo 10%. Na unajuaje kwamba TBA hawatakuwa na 10% kwenye kununua naterials na kulipa mafundi?? Walioweka sheria za manunuzi hawakuwa vichaa. Sheria inapinduliwa mnachakelea, matumizi nje ya budget iliyopitishwa na bunge mnachekelea. Kumbuka siku ya kulia inakuja.
 
Rambi rambi za tetemeko zimehamishiwa kwenye pikipiki Arusha na kujenga nyumba za Ukonga. Jeshi la mtu mmoja na ole wake wa kuhoji
Kumbe zimehamishiwa arusha na ukonga!!! kumbe kwenye mabank ya uswiss!
 
Kwa hili naipongeza serikali mambo mengi yalikuwa yanakwama kwa ajili ya hii sheria ya manunuzi na pesa nyingi zilipotea!niliwahi kuona dawa ya sh 500 ikiuzwa 1600 kwa wazabuni kupitia sheria hii ya manunuzi kwakweli iliniuma na kunishangaza.
Dawa ya mia tano kuuzwa 1600 inawezakuwa sawa maana uyu mtu aendi tu kununua bei halisi ni 500, lakini kuna usafiri, kuna pesa ya kulipa watu wake , admnistration cost, kuna faida yake na mwisho kuna VAT hapo lazima ifike 1600 uwezi ku bid 500 ile ile sasa , elimu ni nzuri sana jitaidini muwe mnafatilia haya mambo, kama ni Raisi wacha serikali ifanye kila kitu haina shida
 
We akili zako hazina akili,tambua hizo kampuni za ujenzi zinalipa kodi na nilazima zipate Nazi ili ziweze kujiendesha na kutoa ajira kwa vilaza wanaomaliza chuo,fikiri mara mbili kabla huja post utumbo wako.
Chanaga unatumia nguvu nyingi bure, tangu lini G sam asifie utawala wa Faru?
Jamaa anamsagia mkulu, wajanja wamemwelewa anachomaanisha mkuu
 
"Nikapiga simu TBA nikawauliza, kwani nyie mtatoza shiringi ngapi? Wakajibu birioni 13 nikawaambia washushe mpaka birioni 10 wakakubari nikawapa mradi wa mafrat ya UDSM"

Tenda kwa njia ya simu!
Huu sio uchwara tena
 
Kwa hili naipongeza serikali mambo mengi yalikuwa yanakwama kwa ajili ya hii sheria ya manunuzi na pesa nyingi zilipotea!niliwahi kuona dawa ya sh 500 ikiuzwa 1600 kwa wazabuni kupitia sheria hii ya manunuzi kwakweli iliniuma na kunishangaza.
Inashangaza kuona bado kuna watu wanatetea kupigwa pesa wapinzani wamezikosoa sana sheria za manunuzi ambazo zimesababisha tsnesco kununua transforma nje ya nchi wakati tanzania kuna kiwanda kinachotengeneza transforma zenye ubora sawa na za huko nje nakumbuka kafulila alivyolia bungeni akimtaka mh hawa ghasia ajiuzulu kwa kushindwa kufuatilia jinsi serikali ilivyokuwa inapigwa pesa kupitia sheria za manunuzi hawa wanaotetea humu wanatokea wapi? Kama ni wapinzani hawaoni kwa utetezi huu wanawasaliti viongozi na wasemaji wengine wa upinzani?
 
Siungi mkono uvunjifu wa sheria lkn napendekeza kuna umuhimu wa ku review sheria zetu, maana kuna baadhi ya sheria zinakaribisha uwezekano au ushawishi wa 10%, nilikuwa sioni logic ya serikali au wakala kushindwa kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka kwa producers mpk kupitia kwa wazabuni ambao bila huruma wana triple bei, anyway naweza nikawa nakosea kwakuwa mm sio mtaalamu wa uchumi na manunuzi !kwa mf upande wa dawa nashukuru Serikali imeamua kuagiza moja kwa moja kutoka kwa producers hii itapunguza ghalama pili ita maintain quality na continuity ya upatikanaji wa bidhaa
 
Nani anakosa ajiri, kukiwa na tenda ukiwapa kampuni X au kampuni Y ajira zipo palepale, huu ujinga mnaotoa wapi ?
Elimu Elimu ni muhimu, ngoja nikupe shule kijana kwenye tendering sio kila siku atapata mtu mmoja kama ilivyo sasa ivi TBA watakavyokuwa wanapata, mfumo wa sasa ivi leo anapata mkandarasi x kesho y keshokutwa z, hii inafanya kila mtu anapata ugali ila kwa sasa ni TBA tu sasa hao wengine wataishi vipi lazima wapunguze wafanyakazi maana miradi ya umma ndio ilikuwa ina pesa private hamna kitu, kwaiyo ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa kilichofanywa na bwana yule
 
Back
Top Bottom