REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,448
- 9,364
Nimepita mahujiano kati ya nikimbishi na waongozaji wa kipindi cha bar tender mwishoni mwa kipindi waongoza kipindi wakamuuliza swali nikimbishi kuwa andike kirefu cha Wi-Fi, nikimbishi akaanza kuandika jibu alilotoa nikimbishi ndio ukweli wa uzushi ulipo kuhusu Wi-Fi kuwa Wi-Fi ni (wireless fidelity) baada ya nikimbishi kuandika nikajua waongozaji wataelezea kuhusu alichoandika nikimbishi maana siyo kweli ajabu watangazaji nao wakaunga mkono kuwa nikimbishi yupo sahihi
Jamani Wi-Fi ni trademarked term yenye maana (IEEE 802.11x) siyo kifupi cha kwakua umesoma hapa natumai una bando google uongeze maarifa nini maana ya Wi-Fi
Jamani Wi-Fi ni trademarked term yenye maana (IEEE 802.11x) siyo kifupi cha kwakua umesoma hapa natumai una bando google uongeze maarifa nini maana ya Wi-Fi