waomba mikopo heslb 2013/2014 wote watapata kwa asilimia mia.

kwa upande wangu mm binafsi naona aliyepost ndio amesema kwamba mikopo itakuwa 100% lakin ukisoma ktk habar hakuna uthibitisho wa hicho anachokidai
 
Mwaka jana pia walitoa taarifa juu ya wale waliokosea ku apply na kuwapatia muda wa kufanya masahihisho
 
Back
Top Bottom