Waomba mikopo heslb 2013/14 wote watapata mikopo kwa 100%

Hivi mkuu inawezekana kwa mtu aliyepata division 3 ya 17 yaan EEF, akapata chuo na kupewa mkopo % kwa mfano mchepuo wa arts(EGM),ambapo math-F?
 
Ili mradi apate chuo.

mkuu unafahamiana na yoyote anaetoa huduma ya kuwajazia hawa watoto wetu mkopo HESLB ata kama kwa pesa.......kama unafahamiana nae yoyote yule naomba no tafadhali maana wengi mpaka sasa wamekwazika juu ya hili na mda unakimbia tu
 
Back
Top Bottom