Waomba ajira serikalini lazima kuwa na kitamburisho cha NIDA kuanzia mwezi huu wa saba

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,263
8,787
1147180
1147181
1147182
 
Tunao taka ajira za serikali tuanze vitafuta hivi vitambulisho ili tuweze kizi sifa ya awali ya kuomba kazi...
 
hivi mbona watu wanapenda kukurupuka kiasi hichi yani watu bado hawajaweka mazingira mazuri ya kuvipata bdo wanaweka tena changamoto kibao wakati unaweza kujiandikisha leo kitambulisho ukapewa 2020
 
hivi mbona watu wanapenda kukurupuka kiasi hichi yani watu bado hawajaweka mazingira mazuri ya kuvipata bdo wanaweka tena changamoto kibao wakati unaweza kujiandikisha leo kitambulisho ukapewa 2020
Hapa kuna tatizo kubwa... Nazani ni njia ya kuwafanya watu wapambane kuvipata na kupunguza umati unao omba ajira...!
 
Back
Top Bottom