Wao magari mapya,umma wa watanzania yaliyotumika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wao magari mapya,umma wa watanzania yaliyotumika!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kubingwa, Nov 10, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya sasa,wadau na wafuatiliaji wa mambo ya siasa TZ.Mjadala unaendelea kule mjengoni hasa katika eneo la sheria ya manununzi ya umma (PPRA),wakubwa wamekaa na kutafakari na kuamua kutaka kuifanyia marekebisho sheria ya manunuzi ya umma,PPRA kuwa wanataka sheria iruhusu kununuliwa kwa mitambo iliyokwisha kutumika hasa MAGARI,VICHWA NA MABEHEWA YA TRENI NA NDEGE.Yaani sheria ije kuhalalisha ile ajali ya Dodoma,Mv Bukoba na Mv Spice Islanders!
  Ukipata nafasi chungulia luninga yako hapo ulipo uone mwakilishi wako analiongeleaje suala hili,yaani analikubali au analipinga?
   
 2. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna inchi yeyote hapa EAC zenye utaratibu wa kununua mitambo/ magari chakavu?
   
 3. L

  Luiz JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipo inaitwa TANZANIA na saizi inatimiza miaka 50 ya uhuru na kauli mbiu yake " tumesubutu tumeweza na tunasonga mbele kwa kununua vitu chakavu".
   
 4. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  No way, najua itapita. Lakini ni vema iwe kwa mitambo mingine na si magari. Pale wanapotaka kununua mtambo uliotumika iwe lazima Bunge kuridhia na bei pia.
   
 5. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Ni Tanzania tu. Tulianza na kivuko chakavu cha kigamboni miaka ile... Alikuwa ni Mustapher Nyang'anyi kama sikosei
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tanzania yenyewe chakavu inawezaje kukataa chakavu nyenzake?
   
 7. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  hahahahaha ringo! nimeipenda hii!

  lakini kwa sababu nia ya serekali yetu ciku zote si njema wanaweza kuitumia kukwapua matrilioni ...........

  na kutengeneza epa nyingine ya kuwaingiza ikulu 2015!
   
 8. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kabla hii sheria haijapita, tushaona magari chakavu kibao serikali ya magamba inanunua mfano ni magari ya zimamoto karibu mengi yaliopo katika bahadhi ya mikoa ni used. Nimeyahakiki yakishuka katika bandari ya Dar mimi mwenyewe.
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wanabana matumizi ili zinazobaki wajiongezee MIJISHAHARA na MIJIPOSHO!
   
 10. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kuna post kama hii inaendelea kwa heading nyingine so.....
   
Loading...