Wanzazibar wanateseka mgao wa umeme watoto wanafeli shule kwa sababu ya kukaa gizani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanzazibar wanateseka mgao wa umeme watoto wanafeli shule kwa sababu ya kukaa gizani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tpmazembe, Jan 25, 2012.

 1. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hivi pamoja na kuwa na serikali ya kitaifa,CUF wako serikalini lakini watu bado wanateseka mgao wa umeme kila siku hawa CUF wamuogope Mungu,wanawatesa wazanzibar kwa visiasa uchwara vya kipindi cha uchaguzi
   
 2. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kweli huu ni msiba,wazanzibar wanaishi maisha ya mateso tu,viongozi hawaoni aibu
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,524
  Likes Received: 1,700
  Trophy Points: 280
  Sasa CUF ndo majenereta ya umeme?
   
 4. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Poleni. Wamefeli mitihani ipi?

  Lakini kufeli kwa mitihani kunasabu nyingi sana zaidi ya umeme! Vijijini huko wanafauli bila umeme.
   
 5. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Matatizo kama hayo kina Jusa hawawezi kuyazungumzia kwa kuwa yanamanufaa kwa wananchi.Wao wanaweza kuzungumzia na kuleta chokochoko za muungano ili nchi igawanywe wapate madaraka.
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Zanzibar ni laana ya umimi inawatesa na hawana haja na kusoma wanasogoa na kukomaa pasipo sababu .Waache wakae hivyo kwanza kwa asili wale si wasomaji ni watu wa kukunja miguu na kuishia madrasa .
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  si ndo maana tunawaambia mjitenge? kwani lazima muungane nasi (watanganyika)? jitengeni na tafuteni vyenu na si kulalamika.
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Yale majenereta mapya aliyoyawacha Karume mmesha yauza?
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pumba.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mgao upo kila mahali waache kulia lia
   
 11. M

  Moses msisia Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  acha wateseke siwapendi
   
 12. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Hao watoto wanasoma school usiku?
   
Loading...