Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Ndugu naona hunielewi, hata Taiwani ndo ilikuwa na Kiti cha Kudumu Baraza la Umoja wa Mataifa. Ndo nchi ilikuwa na VETO si China. Wengi hatujuagi haya ndo maana tunafanya maandamano kwa laptop zetu.
Tuwe tunaambaiana ukweli. Kwa ZNZ ilipo pale inatakiwa itumie nguvu sana kujitoa kwenye Muungano na si kwenda Marekani kuwaambia wanaotaka muwe chini ya makucha manayoyakimbia.
Kwa hiyo unapoleta historia uwe na uhalisia pia. Ndo maana nikasema, ZNZ inapatwa na haya kwa sababu ya Mataifa mengi yanaonea madogo.

Unalijua Taifa linalojitambua au kutambulika Hivi wewe umo?Zanzibar ilianza kujitambua na kutambulika duniani kabla ya Tanganyika. Nchi ya kwanza kuwa na uhusiano wa kibalozi na USA barani Afrika ni Zanzibar.Tanganyika wakati huo inaitwa MRIMA