Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 341
Siku hizi nimehamia kwenye visafar vidogo, navyo nasikia vimepanda Ni 2100 , Yan majangaCastle lager sasa hivi inachuana na Heineken.Mtaani inauzwa kati ya 2700 na 2800,wakati Heineken kuna baadhi ya baa mfano nyingi za kinondoni ni 2500 mpaka 3000.
+ 255 Iringa hii itakuwa... kalikuw ka pub kangu kabla sijatumbuliwa jipu iringaKwa kweli nimehuzunika sana,moyo umeumia sana maana tumezoea mwezi wa 7 ndio bia zinapanda nimeshangaa safari hii imekua April ivi serikali inatuchukulia poa wanywa bia enheeee,nna wiki sasa naenda bar kugida za kutosha nikiwa natafakari niifanye nini serikali ili nao waonje maumivu yangu.
Ipo haja chama wanywa Bia Tanzania kipewe mamlaka kamili ili kipiganie haki zetu maana hawa wehu wanajua hata wakipandisha hatuwezi kuacha na muda ushafika ngoja niende +255 pub nikafanye tafakuri uku naongea na swahiba angu tusker.
Kwa kweli nimehuzunika sana,moyo umeumia sana maana tumezoea mwezi wa 7 ndio bia zinapanda nimeshangaa safari hii imekua April ivi serikali inatuchukulia poa wanywa bia enheeee,nna wiki sasa naenda bar kugida za kutosha nikiwa natafakari niifanye nini serikali ili nao waonje maumivu yangu.
Ipo haja chama wanywa Bia Tanzania kipewe mamlaka kamili ili kipiganie haki zetu maana hawa wehu wanajua hata wakipandisha hatuwezi kuacha na muda ushafika ngoja niende +255 pub nikafanye tafakuri uku naongea na swahiba angu tusker.
itabidi wanywaji tufanye mgomo baridi, hakuna namna nyingineHali hii haikubaliki na haivumiliki haiwezekani soda zinashuka bei halafu bia kila siku inapanda.
Nimehamia kwenye mbege siku hizHali hii haikubaliki na haivumiliki haiwezekani soda zinashuka bei halafu bia kila siku inapanda.