Wanyonge wa Tanzania bara tumlilie nani?

Mbinu iliyobaki ili kuwaondoa watu (hasa wamachinga na wachuuzi) ni kuwachomea biashara zao, ili kusiwepo na mijadara mingi.

Ukishachomewa biashara serikali haitahusika kwakua litachukuliwa kama janga kuliko kuwaamisha kwa nguvu (migambo).
Unaonaje na wao waje wakichome kibanda unachoishi kiteketee chote pamoja na vilivyomo,
Maana kama unaona ni bora wachomewe biashara zao kwa lengo la kuondolewa, jipe mfano huu usiku nyumbani kwenu/kwako pawake pote na kuteketeza kila kitu, nafikiri utakuwa umepata hali ambazo wanapitia kwenye majanga ya namna hii!!!
 
Mbinu iliyobaki ili kuwaondoa watu (hasa wamachinga na wachuuzi) ni kuwachomea biashara zao, ili kusiwepo na mijadara mingi.

Ukishachomewa biashara serikali haitahusika kwakua litachukuliwa kama janga kuliko kuwaamisha kwa nguvu (migambo).
Na Wenyewe Wachomwe pia hii itasaidia sana
 
Unaonaje na wao waje wakichome kibanda unachoishi humo ufie ndani???
Maana kama unaona ni bora wachomewe biashara zao kwa lengo la kuondolewa, jipe mfano huu usiku nyumbani kwenu/kwako pawake pote na kuteketeza kila kitu, nafikiri utakuwa umepata hali ambazo wanapotia kwenye majanga ya namna hii!!!
Mimi napingana na hilo, nadhani imekuwa vigumu wewe kunielewa.
 
Kutoka kuimba mapambio ya utukufu na kumpigia makofi malaika mkuu, huku ukiwa umeshiba vilivyo tumboni! mpaka kulia kama mtoto mdogo huku ukiwa na njaakalihatari, hakika lazima ujisikie maumivu makali.

Poleni sana Team MATAGA. Kwa sasa tupo kwenye Collabo kali ya Kojan & Msoga Gang! Yaani ni mwendo wa Survival of the Fittest! Wanyonge ni wakati wenu huu sasa wa kurudi Vijijini kwenda kulima. Miji na Nchi kwa ujumla, imerudi mikononi mwa wenyewe.
Ni wakati wa timu mataga kuzifuata akili walizo zibwaga kwenye mageti ya kijani na kujifunza kuwa waliowaimbia mapambio ndio watesi wao hata hii Leo🤸.
 
Ni wakati wa timu mataga kuzifuata akili walizo zibwaga kwenye mageti ya kijani na kujifunza kuwa waliowaimbia mapambio ndio watesi wao hata hii Leo🤸.
Walifikiri wataishi kwa kuonea, kutesa na kudhulumu kwa kodi zisizo halali miaka yote.
Magufuli aliwapa kiburi na dharau kwa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara.
Sasa huyu mjinga analialia kubebwa badala ya kujitegemea.
 
Kwani Mbowe yuko wapi Leo?
 
Back
Top Bottom