TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau..!
Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo.
Kuna dalili ya kwamba
1. Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu
2. Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba wamejenga katika maeneo yasiyo stahiri wakati miaka yote gavo walikuwa wanakusanya kodi.
3. Muda sasa wa wale wanaojiita wawekezaji kuchukua maeneo ya wanyonge wakati hata wanachokiwekeza hakionekani wala hakina impact yeyote kwa jamii.
Wapo waliokuwa wanajiita wawekezaji kabla ya 2015 waliokwapua maeneo ya watu kwa bei ya mkaa kwa kuwaadaa kwamba wanawasaidia sababu hawastahiri kuishi hapo kisheria na kuwapangia bei ya nyumba na viwanja vyao na kuwafanya watu waishi kama digidigi naona nao wameanza kuamka kuendeleza mchakato wao baada ya kusizi kipindi cha JPM sasa wameamka tena na hii itaathiri sana kaya zile masikini wanapoishi watu wa hali ya chini kama kule kwa Mheshimiwa Gondwe na maeneo mengine ya uswazi uswazi sana .
Hili suala limeanza kuonesha viashiria baada tu ya kuondoka mnayemuita Mwenda Zake ,si semi kwamba wanyonge watamkumbuka la hasha muda bado maana naamini mama anaweza kufanya kitu na hii isitokee .
Ngoja tuone,kazi iendelee.!