Wanyonge sasa muda wao na wao kuishi kama mashetani, sisi matajiri zamu yetu imekwisha

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau..!
Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo.

Kuna dalili ya kwamba
1. Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu
2. Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba wamejenga katika maeneo yasiyo stahiri wakati miaka yote gavo walikuwa wanakusanya kodi.
3. Muda sasa wa wale wanaojiita wawekezaji kuchukua maeneo ya wanyonge wakati hata wanachokiwekeza hakionekani wala hakina impact yeyote kwa jamii.

Wapo waliokuwa wanajiita wawekezaji kabla ya 2015 waliokwapua maeneo ya watu kwa bei ya mkaa kwa kuwaadaa kwamba wanawasaidia sababu hawastahiri kuishi hapo kisheria na kuwapangia bei ya nyumba na viwanja vyao na kuwafanya watu waishi kama digidigi naona nao wameanza kuamka kuendeleza mchakato wao baada ya kusizi kipindi cha JPM sasa wameamka tena na hii itaathiri sana kaya zile masikini wanapoishi watu wa hali ya chini kama kule kwa Mheshimiwa Gondwe na maeneo mengine ya uswazi uswazi sana .

Hili suala limeanza kuonesha viashiria baada tu ya kuondoka mnayemuita Mwenda Zake ,si semi kwamba wanyonge watamkumbuka la hasha muda bado maana naamini mama anaweza kufanya kitu na hii isitokee .

Ngoja tuone,kazi iendelee.!
 
Kuondolewa kwa Wamachinga pembezoni mwa Barabara kunaashiria kuwa Utawala wa Sheria umerejeshwa na Mama Samia

Pongezi nyingi ziende kwa Raisi Samia Suluhu
Jenga kwanza masoko na effort ionekane ya kuwaborrshea mazingira machinga then watoe mbona ni simple tu? Hapo unafanya hivi,,
Kisutu modern matket maana yake machinga wa mtaa ule waingie humo,
Machinga complex wale wa kariakoo waingie humo,
Magomeni market wale wa road ya magomeni na hii ya kuha kigogo waingie hapo nk.
Ambao bado km buguruni, mbagala, gmboto nk waendelee na hamsini zao kwanza
 
Kumbuka pia kila siku Mabasi yanaendelea kumwaga Machinga kutoka Vijijini na Trust me hawataisha
 
Uko sahihi kabisa lkn pia tenga maeneo au buni hata vi frame vidogo baadhi ya maeneo au tafuta open spaces for business, yaani mbona watu wakikaa chini wanaweza kuja na ideas safi kabisa. Kwa mfano tu, kwenye vivuko kama cha buguruni pale wanajenga daraja pana huko juu kunakuwa na viframe maalumu kwa small business people ambavyo ni very classic. It is possible. Au kila baada ya km 1 vinajengwa vi frame near service road hasa sehemu zilizo na mafence tu au road reserve au vituo vya daladala vinakuwa modernized with viframe husika frrsh kbs, lazima tuwetuna buni vyetu. Asa kama kuna mtu kabuni Mtambo usiotumia gesi, mafuta, umeme hata maji na unafua umeme kijambo hicho tunashindwaje??
 
si ndio vizuri ili tubondane yatokee babadiliko!!!

magufuli alifanya kazi kubwa ya kuchambua mchele ma chuya,kila mtu kajitambua.
 
Hawa Watu waliokimbia Vijijini kuja kupanga vitu kwenye Mabarabara ya Mjini wanatakiwa Wasombwe warudishe Vijijini wakalime.

Mama Samia chukua hili wazo
Tatizo sio hao watu kuondoka kwenye hizo road junction ishu ni kwamba nguvu inaweza tumika bila busara,na wakajikuta wanaanza kuishi kama mashetani kwa kukosa wateja .

Hata JPM alivyoingia 2015 alianza na kufukuza watu barabarani lakini baadaye alijirekebisha na kuwaruhusu waendelee na shughuri zao.
 
Habari wadau..!
Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo.

Kuna dalili ya kwamba
1.Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu
2.Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba wamejenga katika maeneo yasiyo stahiri wakati miaka yote gavo walikuwa wanakusanya kodi.

3.Muda sasa wa wale wanaojiita wawekezaji kuchukua maeneo ya wanyonge wakati hata wanachokiwekeza hakionekani wala hakina impact yeyote kwa jamii.
4.Jana kuna msanii Dogo janja kapost kwamba anaradhimishwa kulipa hela wakati ya Covid pal JKNIA wakati ana document ya Covid .

Wapo waliokuwa wanajiita wawekezaji kabla ya 2015 waliokwapua maeneo ya watu kwa bei ya mkaa kwa kuwaadaa kwamba wanawasaidia sababu hawastahiri kuishi hapo kisheria na kuwapangia bei ya nyumba na viwanja vyao na kuwafanya watu waishi kama digidigi naona nao wameanza kuamka kuendeleza mchakato wao baada ya kusizi kipindi cha JPM sasa wameamka tena na hii itaathiri sana kaya zile masikini wanapoishi watu wa hali ya chini kama kule kwa Mheshimiwa Gondwe na maeneo mengine ya uswazi uswazi sana .

Hili swala limeanza kuonyesha viashiria baada tu ya kuondoka mnayemuita Mwenda Zake ,si semi kwamba wanyonge watamkumbuka la hasha muda bado maana naamini mama anaweza kufanya kitu na hii isitokee .

Ngoja tuone,kazi iendelee.!
Naunga mkono suala la kuondoa machinga barabarani na kuwaweka kwenye maeneo wanayostahili. Ule taratibu wa mwendazake wa kuruhusu machinga kupanga bidhaa zao popote haukuwa mzuri kabisa.
 
Habari wadau..!
Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo.

Kuna dalili ya kwamba
1.Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu
2.Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba wamejenga katika maeneo yasiyo stahiri wakati miaka yote gavo walikuwa wanakusanya kodi.

3.Muda sasa wa wale wanaojiita wawekezaji kuchukua maeneo ya wanyonge wakati hata wanachokiwekeza hakionekani wala hakina impact yeyote kwa jamii.
4.Jana kuna msanii Dogo janja kapost kwamba anaradhimishwa kulipa hela wakati ya Covid pal JKNIA wakati ana document ya Covid .

Wapo waliokuwa wanajiita wawekezaji kabla ya 2015 waliokwapua maeneo ya watu kwa bei ya mkaa kwa kuwaadaa kwamba wanawasaidia sababu hawastahiri kuishi hapo kisheria na kuwapangia bei ya nyumba na viwanja vyao na kuwafanya watu waishi kama digidigi naona nao wameanza kuamka kuendeleza mchakato wao baada ya kusizi kipindi cha JPM sasa wameamka tena na hii itaathiri sana kaya zile masikini wanapoishi watu wa hali ya chini kama kule kwa Mheshimiwa Gondwe na maeneo mengine ya uswazi uswazi sana .

Hili swala limeanza kuonyesha viashiria baada tu ya kuondoka mnayemuita Mwenda Zake ,si semi kwamba wanyonge watamkumbuka la hasha muda bado maana naamini mama anaweza kufanya kitu na hii isitokee .

Ngoja tuone,kazi iendelee.!
Neno mnyonge tumelikataa tunasema lilikwenda na kuzikwa chato
 
Tatizo sio hao watu kuondoka kwenye hizo road junction ishu ni kwamba nguvu inaweza tumika bila busara,na wakajikuta wanaanza kuishi kama mashetani kwa kukosa wateja .

Hata JPM alivyoingia 2015 alianza na kufukuza watu barabarani lakini baadaye alijirekebisha na kuwaruhusu waendelee na shughuri zao.
Wapunguzwe unakuta mtu anakimbia Shamba lake Kijijini anakuja Mjini na familia yake ni hatari sana kwa Nguvu kazi ya Nchi
 
Habari wadau..!
Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo.

Kuna dalili ya kwamba
1.Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu
2.Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba wamejenga katika maeneo yasiyo stahiri wakati miaka yote gavo walikuwa wanakusanya kodi.

3.Muda sasa wa wale wanaojiita wawekezaji kuchukua maeneo ya wanyonge wakati hata wanachokiwekeza hakionekani wala hakina impact yeyote kwa jamii.
4.Jana kuna msanii Dogo janja kapost kwamba anaradhimishwa kulipa hela wakati ya Covid pal JKNIA wakati ana document ya Covid .

Wapo waliokuwa wanajiita wawekezaji kabla ya 2015 waliokwapua maeneo ya watu kwa bei ya mkaa kwa kuwaadaa kwamba wanawasaidia sababu hawastahiri kuishi hapo kisheria na kuwapangia bei ya nyumba na viwanja vyao na kuwafanya watu waishi kama digidigi naona nao wameanza kuamka kuendeleza mchakato wao baada ya kusizi kipindi cha JPM sasa wameamka tena na hii itaathiri sana kaya zile masikini wanapoishi watu wa hali ya chini kama kule kwa Mheshimiwa Gondwe na maeneo mengine ya uswazi uswazi sana .

Hili swala limeanza kuonyesha viashiria baada tu ya kuondoka mnayemuita Mwenda Zake ,si semi kwamba wanyonge watamkumbuka la hasha muda bado maana naamini mama anaweza kufanya kitu na hii isitokee .

Ngoja tuone,kazi iendelee.!
Bavicha wamekua watawala siku hizi nyuma ya key board, hutasikia kelele, nachoshangaa hata wale wanaharakati kina olenguruma sijui nn au huo sio uvunjifu wa haki za binadamu?
 
Ndugu yangu jua kuwa in order to reach desirable development maskini has no room kabisa na hii ndo principle ya maendeleo otherwise ukikumbatia maskini maana yake umekubali mfe wote na umaskini.

Soma Pareto efficiency ili ujiridhishi. Hayo ndo maendeleo vinginevyo mtakuwa maskini daily.

Halafu hata biology inasema survival of the fittest. So there is no way you can all enjoy. Strong ones must make weaker ones perish in order for survival otherwise you will all die.

No what's better to die all or to have the rescuerer.

Samia is on right track.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom