'Wanyonge' ni akina nani na wapo wangapi nchini Tanzania?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'

Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na sheria au Rais?
 
Wanyonge ni wale wafuasi wa Ccm wasiojielewa na ambao ni Bendera fuata upepo! Mara nyingi hutumika kama mtaji wa kisiasa kwa watawala huku wakishawishiwa kwa rushwa ndogo ndogo za fedha, kanga, vitenge, kofia, pombe, pilau, nk
 
Wanyonge ni kauli za kuomba kura na kuomba misaada kwa mabeberu
 
Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'

Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na sheria au Rais?
Binafsi siipendi kabisa hii slogan.
Inanikumbusha enzi za matabaka kama Wanenzi na malofa enzi za ukoloni.
Ki ukweli ni slogan inayolenga kuwagawa wananchi katika makundi mawili hasidi, kitu ambacho kinavunja umoja wa kitaifa kwa kujenga chuki kwa wanaoitwa wanyonge didi ya wanaoitwa mafisadi (wente nguvu za kiuchumi).
 
Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'

Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na sheria au Rais?
Watu milioni karibia 13 5 wanaosadikiwa ni wanachama wa ccm including mabalozi wa ccm wa nyumba 50 hao ndo wanyonge
 
Kwa muda sasa tumesikia kuwa Tanzania kuna 'wanyonge' na Rais amekuwa akiwapigania kwa kujiita ni 'Rais wa wanyonge.'

Hivi 'wanyonge' wana sifa zipi? Na idadi yao ni kiasi gani? Kitu gani hasa kinawaweka kwenye 'unyonge' kama kweli wapo? Hivi kama kweli hawa 'wanyonge' wapo, wanakombolewa na sheria au Rais?
ni ile misukule inayojiita MATAGA!
 
Back
Top Bottom