Elections 2010 Wanyamwezi Wenzangu Wananiangusha

Mnyamwezi2010

New Member
Nov 1, 2010
1
0
Jamii forum kinachonishangaza ni kuwa,
Mkoa wa Tabora Haujafanyiwa chochote na Selikari ya CCM,Tabora ya mwaka 47 ni sawa na Tabora ya Leo.barabara mbovu,watu ni maskini sana,nitakupigieni picha za Tabora mjini muone.Lakini kila mwaka CCM inashinda kwa kishindo,Mtawasaidiaje hawa Wanajamii wa Tabora mjini.
 
hao wanajua mambo mawili tu: ulevi wa matapu-tapu na kulima vibarua.
 
When the majority of a population is desperately poor, it is easy for politicians to buy loyalty. But the loyalty of an emerging middle class is not so easily bought. When they are no longer worried about the survival of their families, they start to demand more from their government. Politicians will need to be more responsive to stay in power.
 
Jamii forum kinachonishangaza ni kuwa,
Mkoa wa Tabora Haujafanyiwa chochote na Selikari ya CCM,Tabora ya mwaka 47 ni sawa na Tabora ya Leo.barabara mbovu,watu ni maskini sana,nitakupigieni picha za Tabora mjini muone.Lakini kila mwaka CCM inashinda kwa kishindo,Mtawasaidiaje hawa Wanajamii wa Tabora mjini.

Historia inajulikana. Hata baba wa taifa hakumuunga mkono Mr. Six wakati alipojaribu kugombea mwaka 1995. Hata mjerumani hakukosea kwenda kuwachukua kuja kukata mkonge akaruka wasambaa, wazigua, warangi, wamasai, wagogo, wanyaturu na wanyiramba. Nafikiri ndivyo walivyo.

Labda wameumbwa kutumikia wengine.
 
Miaka ya nyuma ningesema hawakuwa na mtu wa upinzani wa kumpa kura. Mwaka huu inaweze ikawa ni suala la udini. Shauri yao wenyewe, maana inatia hasira kuona watu wanachagua chama cha wezi wa rasilimali zetu.
 
Jamani,

Kuna makala yangu ya umasikini wa TBR ntaiandika mara uchaguzi ukiisha.

Nitajitahidi kutumia kihistoria kidogo cha Tabora na kueleza tulipotoka na tulipo na mwelekeo.
 
Ni wakat sasa wa sis angalau 2lopitia vishule iv vya kata, tukachomoka kwa kuiba material ya vitoto vya hawa MAJKey wakat wa holidei, tujitoe japo kwa shda kuwapatia tuition ya uraia japo kwa kujiiba coz hal ya nchi inanuka kwa uozo wa umaskin! CCM si kwamba inatushnda, dawa ni kuendeleza campen za chnchn. Em fkiria kwa nin wanagoma kutoa matokeo ya wananch waloyafanyia kazi. Si Tbr tu, em piga picha mikoa ye2 hi ya Kati hususan Singda, em ichek ilvokaa lakn utashndwa kuamin kama kwel hawataki kuish maisha mazuri au ni ushamba, utashndwa kuelewa km walikuwa hawamuelew DK SLAA au kiswahl knapita pemben, sielew. Mikoa ye2 hi wakat mwngne inabd jitihada za ziada kuwaelimisha hawa wazee wetu ikibd hata kwa fimbo coz hawa ndo wanatuweka pabaya, mpaka apa tulipo its coz of them! Naudhka sna napomwona kjana anaishabkia CCM, kwel ni aibu kwa mtu km huyo. Af cha ajab ni pale unapomwona mtu hana uwezo wowote ni wa kugongea jiti lakn utamkuta ndo wa kwnza kuishabkia iyo trakoma, mtu na pesa zake, heshma na elimu yake akjarb kumshaur mtu huyo wa chn kua aikimbie iyo acid atak! Chunguzen mikoa ya wenzetu wa Kaskazn ambavyo wameitupa chn iyo chama na kukubal ukomboz jns walvo juu kiuchumi. Lakn sis ambao hatuna mbele wala nyuma ndo tunaishabkia, jamen tushtukee WANATUCHEKA! Huu ni uboya tunaoufanya, IKIMBIEN CCM KAMA ZINAA! La svo tutaisha wote wakat tumesmama. SHAUR YENU na MTAJIJUU km hamtataka kuwa nami mi naishia zangu coz siwawezi! SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.
 
Wamepewa khanga, tshirt na kofia za kijani na 5000 unafikiri watajua mapinduzi hao sikio la kufa halisikii dawa
 
When the majority of a population is desperately poor, it is easy for politicians to buy loyalty. But the loyalty of an emerging middle class is not so easily bought. When they are no longer worried about the survival of their families, they start to demand more from their government. Politicians will need to be more responsive to stay in power.

Brother, I think the best thing to do is to convince progressive Nyamwezis, i.e. those who sympathize with CHADEMA or other opposition parties, within the country to go and vie for political posts in the region. There are a lot of them and I am sure IT CAN BE DONE!!!!!!
 
Jamii forum kinachonishangaza ni kuwa,
Mkoa wa Tabora Haujafanyiwa chochote na Selikari ya CCM,Tabora ya mwaka 47 ni sawa na Tabora ya Leo.barabara mbovu,watu ni maskini sana,nitakupigieni picha za Tabora mjini muone.Lakini kila mwaka CCM inashinda kwa kishindo,Mtawasaidiaje hawa Wanajamii wa Tabora mjini.

Ni kazi ngumu sana kuwasaidia watu kama hawa ambao hawana exposure zaidi ya Tabora. Mtu kazaliwa Tabora kasomea shule ya msingi Tabora kaolea/kaolewa Tabora na anasubiri muda wake wa kufa Tabora unatarajia nini?. Kwake huyu Nyumba za biscuits na mbavu za mbwa anajua kuwa ndivyo dunia ilivyo akibahatisha kuona video za kihindi na habari za ITV anajua kuwa huko wanakaa wasomi tu.

Njia pekee ya kuiangamiza CCM wherever it raises its head is to educate people mora to at least form six. Otherwise this will look ana advantage to CCM unless something unsusal happens
 
WanaJF:

Mnavuka mistari sasa. Watu wasipochagua CHADEMA mnasema hawakusoma au udini. Haya mambo mnayotoa wapi? Je watu wa Kigoma wamesoma sana kuwazidi wa Tabora?

Siasa za Tanzania sio siasa za itikadi. Ni siasa za personality, kama CHADEMA hawana personality Tabora kwanini watu wachague CHADEMA?

Mabadiliko mnayotaka yasiwanyime watu haki zao za kiraia.
 
Six katangazwa ITV kuwa kapata asilimia 75, Chadema 25, nadhani hilo jimbo ni potential kwa chadema 2015
 
jaman tusilazimishe Watanzania wote wawe CHADEMA. Suala la kura ni haki ya kila raia, anampigia amtakaye. Sasa Tbr kuendelea kukumbatia CCM huo ni uamuzi wao. Pia tukumbuke kuwa Vuguvugu la Upinzani na Vyama vingi toka kabla na baada ya Uhuru Tabora ilikuwa ina wanaharakati na wasomi wenye mwamko na hamu ya maendeleo kama Fundikira, Kaselabantu, Mapalala, na wengineo wengi tu ki2 ambacho kilimfanya Nyerere aitose Tabora ktk nyanja zote ili idhoofike. So wameona upinzani hauna ishu cha mcng ni kuwapa elimu ya kutosha waone ubaya wa CCM
 
huyu aliyezungumzia exposure anaona mbali. wachina wana usemi 'travel and see its not only your mumy who cooks nice food'. kama hujui utamu wa vyakula vingine huwezi kujua ubaya wa chakula chako. pita maeneo ya kati tabora asubuhi hii utakuta watu wanacheza bao na kunywa kahawa, wameridhika. wanahitaji ufunuo!
 
Back
Top Bottom