Wanyama wetu wamerudishwa au hadi bunge lianze

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
1,250
Sakata la kutoroshwa kwa wanyama kupitia kia limeishia wapi au hadi bunge lianze?walifikaje hadi wanapandishwa kwenye ndege?hivi usalama wa taifa kazi yao nini?polisi kazi yao nini?hiyo ndege haikuonekana kwenye radar ya chnge na mkapa??
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,335
2,000
Wale wengi wao washachinjwa,
Labda kama unataka mifupa!!!
 

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,579
2,000
Mleta mada utasubiri sana! Hiyo ndio serikali ya Chama Cha Magamba!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom